akili zako unachanganya na za mbayuwayu, uamuzi unabaki kwako, mana hata uasherati na uzinzi tubakatazwa mana unaweza pata maambukizi ya ukimwi lakini wengi hawajali, so maisha ni uamuzi
Mi nakula kama kawa: Hao watu wakija na mambo yao na ukifuatilia saana hutakula kitu. Mbona chumvi inaozesha (rust) chuma na wakati huohuo ni muhimu sana mwilini. Ukianza kusema eti coke inaweza safishia masinki ya choo/bafu hivyo ni hatari mimi nakuwa sina uhakika sana kama ukinywa na ikiwa mwilini itakuwa kwenye form ileile, reaction yake! Sawa na maji ya baridi ukinywa lakini ili mwili uyafyonze (absorption) ni lazima yawe kwenye joto linalohitajika la mwili vinginevyo wewe ni maiti. ….. hata baadhi ya watu wenye miaka iliyozidi 90 wengi wao pombe n.k. wachache nilishapata waliokuwa hata wanavuta fegi pia. Ni vema kuwa makini na kupunguza vitu fulanifulani, lakini pia hawa majamaa wa tiba mbadala wanachanganya sana, eti sijui rejea edeni nk usile nini…, kweli mengine ni ya msingi lakini biasha imekuwa mbele sana na karibu wote ni warohotu wa fedha. Hayo matunda , mbogha za majani na vyakula karibu vyote sio mbegu za asili ni genetically modified, sasa unaruka nini unakanyaga nini. Cha msingi ni kuwa na kiasi kwa vitu fulanifulani lakini ufuatiliaji wa kama vile hutakufa