Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kiasi fulani ni sawa, ila unaweza usile mayai ya kienyeji au dona na mwili ukapata virutubisho vilevile anavyokula mla dona kwa mayai ya mtetea ulionaniliwa na jogoo. Wengine hawali mayai kabisa! Mafano nakula sembe ila bisi na mahindi choma nakula. Safi kwa jitihada za lishe bora mkuu, nakutakia kila la heri. Tuwasiliane basi
Maji ndio kinywaji pekee kilicho salama.
Good choiceHeri yangu niliyeacha kutumia soda. Sasa nina almost miaka 2 tangu niachane na soda. Kinywaji changu cha mara kwa mara ni maji.
... Wakuu' hizi tafiti zinatofautiana kiasi fulani, na zile ambazo nimezisoma kwenye makala mbalimbali kuhusu unywaji wa soda... Sijui ukweli ni upi?
Sina uhakika sana...Una uhakika na unenacho?
nina mwaka wa sita sijatumia kinywaji aina ya soda au pombe.niliamua na kuanza kunywa sana maji hadi kazini kwangu wananiita waterman au mzee wa majiHeri yangu niliyeacha kutumia soda. Sasa nina almost miaka 2 tangu niachane na soda. Kinywaji changu cha mara kwa mara ni maji.
Mkuu Katavi leo umezungumza maneno ya point maji ndio kinywaji bora cha salama kwa binadamu hongera na mimi ninaongeza hapa Maji ya Uvuguvugu yana faida kubwa sana kwa mwili wa binadamu chanzo MzizizMkavu.https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/365977-muujiza-ya-matibabu-kwa-maji-ya-moto-kunywa.htmlMaji ndio kinywaji pekee kilicho salama.
NA UKIJARIBU TU JUA TUME INAUNDWA!!!! lazima ujue watu wengi wananufaika na biashara hii ya vinywaji baridi,wengi wao ni wafanya biasha wakubwa(eg me-NGI na A-DHAM) UPO??? sasa bangugu ukisema uelimishe jamii huonio utawaharibia dili...je nini kitafwata kama sio kuku-ulimboka!!!!!Pana hitajika nguvu ya ziada hili elimu hi imfikie kila Mtanzania.Madhara ni makubwa.