Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Yeah, watu wajiunge BRICS sasa, maana Trump hataki kuwa superpower.Poa tu na ajitoe ili kweli WHO iwe World Health Organization kiukweli kweli..., na faida nyingine ambazo anapata pia watu waanze kumuondoa (mfano kuitumia NATO kama Nyenzo); bila kusahau dunia kuanza kuondoka kwenye Dollar kama World Currency (Hii inampa faida kubwa sana); In short with Great Power comes Great Responsibility..., Marais waliopita walifahamu hili ndio maana waliweza kuendelea kula na Vipofu kwa muda mrefu Sana. By the way hizo ajira na Supplier wa WHO wanawanufaisha sana kina nani kama sio Americans
Viongozi hawawezi kufa since they can afford to buy.No Free ARV.
Mwaka huu tutazika viongozi wengi sana
Yah ni kichaka ila watakao umia ni nchi za kiafrika. Najua upo kwenye sekta ya afya so unajua mchango wa Dona kantri kwenye afya za Watanzania.Trump anajua WHO ni kichaka Cha Big Pharms kula Hela za wamarekani .
Pili anahoji...Uchina yenye watu Billion Moja na zaidi inakuaje inachangia kiduuuchu sana?
Wacha Kila MTU afe kivyake
Itakuwa kawaida tu. Kwani saivi mnawahudumiaje wagonjwa wenu wenye homa zingine kwenye familia yenu? Hao watahudumiwa ivoivo.Kinachosikitisha maamuzi yametoka marekani lakini yatamuathiri hadi mtanzania wa kijijini ndani ndani hukoo maporini.
Ngoja tuumie kabisa na tufe sisi wajinga wajinga .Yah ni kichaka ila watakao umia ni nchi za kiafrika. Najua upo kwenye sekta ya afya so unajua mchango wa Dona kantri kwenye afya za Watanzania.
Watakufa wale masikini wanao danganywa na vitenge. Watoa vitenge huwa wanafia India, Ujerumani, Uingereza au Nairobi huko.Ngoja tuumie kabisa na tufe sisi wajinga wajinga .
Haiwezekan li NCHI Lina Kila mamali , Maziwa makuuu mpaka Bahari, ,kuanzia dhahabu ,almas, Tanzanite mpaka Uranium , Kuanzia mbuga za wanyama mpaka mapango ya pangan, Kuanzia Ardhi yenye rutuba mpaka Blonde la Ngorongoro,
Alafu bado Hadi vyandarua mahospitalini tunasubiri Msaada wa USAIDS ??.
Wacha tukome japo Kile Kikundi kitatibiwa nje ya Nchi.
Hizo ni siasa tu. Hawawezi kujitoa hlf wakaendelea kuwa salama. mfumo wa afya duniani unategemeana sana. hawa tunao sana tu‘Sowing seeds for next pandemic’: Trump order for US to exit WHO prompts alarm
Departure from UN agency in 12 months would leave Americans vulnerable, say public health expertswww.theguardian.com
haya kumekuchaNgoja tuumie kabisa na tufe sisi wajinga wajinga .
Haiwezekan li NCHI Lina Kila mamali , Maziwa makuuu mpaka Bahari, ,kuanzia dhahabu ,almas, Tanzanite mpaka Uranium , Kuanzia mbuga za wanyama mpaka mapango ya pangan, Kuanzia Ardhi yenye rutuba mpaka Blonde la Ngorongoro,
Alafu bado Hadi vyandarua mahospitalini tunasubiri Msaada wa USAIDS ??.
Wacha tukome japo Kile Kikundi kitatibiwa nje ya Nchi.
Bahati mbaya sana trump hajui maana ya kuwa kiongozi au world-leadersMarekani anachangia dola milioni 400 WHO wakati China na population ya watu bil 1+ anachangia dola Milioni 40 ndo hoja ya Trump iko hapo. Ameona kama US inakuwa treated unfairly na mataifa mengine ndo maana anasema nchi nyingine zinakula rasilimali za US.
No Free ARV.
Mwaka huu tutazika viongozi wengi sana
Hizo pesa ulikwenda kuweka kwenye account ya serikali ya China ? Trump yuko Sawa kila mtu abebe mzigo wake.Tunataka super power wa mchongo mchina afix iyo usd 400 mil sasa
SipendiWewe hupendi misaada?
Viongozi!?.. ukimwi mwingi sana mtaaniNo Free ARV.
Mwaka huu tutazika viongozi wengi sana
Nenda wewe unayejua maana ukawe World leaderBahati mbaya sana trump hajui maana ya kuwa kiongozi au world-leaders