Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Yeah, watu wajiunge BRICS sasa, maana Trump hataki kuwa superpower.Poa tu na ajitoe ili kweli WHO iwe World Health Organization kiukweli kweli..., na faida nyingine ambazo anapata pia watu waanze kumuondoa (mfano kuitumia NATO kama Nyenzo); bila kusahau dunia kuanza kuondoka kwenye Dollar kama World Currency (Hii inampa faida kubwa sana); In short with Great Power comes Great Responsibility..., Marais waliopita walifahamu hili ndio maana waliweza kuendelea kula na Vipofu kwa muda mrefu Sana. By the way hizo ajira na Supplier wa WHO wanawanufaisha sana kina nani kama sio Americans