Madhara ya USA Kujiondoa Uwanachama wa WHO kwa Tanzania Kuanzia Mwaka 2025 Hadi 2030: Athari kwenye Global Fund

Madhara ya USA Kujiondoa Uwanachama wa WHO kwa Tanzania Kuanzia Mwaka 2025 Hadi 2030: Athari kwenye Global Fund

Poa tu na ajitoe ili kweli WHO iwe World Health Organization kiukweli kweli..., na faida nyingine ambazo anapata pia watu waanze kumuondoa (mfano kuitumia NATO kama Nyenzo); bila kusahau dunia kuanza kuondoka kwenye Dollar kama World Currency (Hii inampa faida kubwa sana); In short with Great Power comes Great Responsibility..., Marais waliopita walifahamu hili ndio maana waliweza kuendelea kula na Vipofu kwa muda mrefu Sana. By the way hizo ajira na Supplier wa WHO wanawanufaisha sana kina nani kama sio Americans
Yeah, watu wajiunge BRICS sasa, maana Trump hataki kuwa superpower.
 
Trump anajua WHO ni kichaka Cha Big Pharms kula Hela za wamarekani .

Pili anahoji...Uchina yenye watu Billion Moja na zaidi inakuaje inachangia kiduuuchu sana?

Wacha Kila MTU afe kivyake
Yah ni kichaka ila watakao umia ni nchi za kiafrika. Najua upo kwenye sekta ya afya so unajua mchango wa Dona kantri kwenye afya za Watanzania.
 
Kinachosikitisha maamuzi yametoka marekani lakini yatamuathiri hadi mtanzania wa kijijini ndani ndani hukoo maporini.
Itakuwa kawaida tu. Kwani saivi mnawahudumiaje wagonjwa wenu wenye homa zingine kwenye familia yenu? Hao watahudumiwa ivoivo.
 
Mkishiba mnasema nyie ni nchi huru msipangiwe cha kufanya!

Haya sasa nchi huru onesheni misuli yenu!
 
Yah ni kichaka ila watakao umia ni nchi za kiafrika. Najua upo kwenye sekta ya afya so unajua mchango wa Dona kantri kwenye afya za Watanzania.
Ngoja tuumie kabisa na tufe sisi wajinga wajinga .

Haiwezekan li NCHI Lina Kila mamali , Maziwa makuuu mpaka Bahari, ,kuanzia dhahabu ,almas, Tanzanite mpaka Uranium , Kuanzia mbuga za wanyama mpaka mapango ya pangan, Kuanzia Ardhi yenye rutuba mpaka Blonde la Ngorongoro,

Alafu bado Hadi vyandarua mahospitalini tunasubiri Msaada wa USAIDS ??.

Wacha tukome japo Kile Kikundi kitatibiwa nje ya Nchi.
 
Watakufa wale masikini wanao danganywa na vitenge. Watoa vitenge huwa wanafia India, Ujerumani, Uingereza au Nairobi huko.
 
Ngoja tuumie kabisa na tufe sisi wajinga wajinga .

Haiwezekan li NCHI Lina Kila mamali , Maziwa makuuu mpaka Bahari, ,kuanzia dhahabu ,almas, Tanzanite mpaka Uranium , Kuanzia mbuga za wanyama mpaka mapango ya pangan, Kuanzia Ardhi yenye rutuba mpaka Blonde la Ngorongoro,

Alafu bado Hadi vyandarua mahospitalini tunasubiri Msaada wa USAIDS ??.

Wacha tukome japo Kile Kikundi kitatibiwa nje ya Nchi.
haya kumekucha

Marekani anachangia dola milioni 400 WHO wakati China na population ya watu bil 1+ anachangia dola Milioni 40 ndo hoja ya Trump iko hapo. Ameona kama US inakuwa treated unfairly na mataifa mengine ndo maana anasema nchi nyingine zinakula rasilimali za US.
Bahati mbaya sana trump hajui maana ya kuwa kiongozi au world-leaders
 
Nauona Ukimwi wa miaka ya 90 ukila jalamba tayari kuingia uwanjni.wale watu wa ngono zembe ni muda sasa wa kutafakari kama familia yako itakuwa na pesa za kukununulia ARV

Hi.png
 
Muda wa watu kudondoka kama nzige kwa HIV na TB,na Marbug ishapiga hodi,Mchina si anataka ukubwa afidie gap
 
Hii ndo athari ya kutokubeba mizigo yetu...Trump Yuko sahihi Kwa asilimia kubwa, japo ni ajenda nayo.
 
Back
Top Bottom