jitukubwalao
Senior Member
- Mar 29, 2011
- 194
- 161
Mkuu kwenye andiko lako umeandika best prayer ulikuwa una maanisha best player?Zile tetesi kwamba kuna chuki za kocha wa Taifa Stars dhidi ya kuuvaa mkenge wa Usimba na Uyanga leo umedhihirika baada ya timu aliyoiteua kutofua dafu kwa Taifa dogo la Rwanda na kutoka sruhu Kocha inabidi ajitathimini kama hii CHAN inahusu wachezaji wa ndani kwa nini hawasiliniani na makocha wa timu zingine zinazoshiriki ligi kuu ili achague the best prayer akaachana na huu Usimba na Uyanga leo unamchafua kwamba timu ya Taifa haijafanya vizuri kwa sababu ya mapenzi binafsi ya kocha.
Kuwa makini katika kuandika unaweza kujikuta unatoa kitu tofauti na ulichokusudia, ila umeeleweka
Sent using Jamii Forums mobile app