Madhara ya Usimba na Uyanga yameigharimu timu ya Taifa Stars

Zile tetesi kwamba kuna chuki za kocha wa Taifa Stars dhidi ya kuuvaa mkenge wa Usimba na Uyanga leo umedhihirika baada ya timu aliyoiteua kutofua dafu kwa Taifa dogo la Rwanda na kutoka sruhu Kocha inabidi ajitathimini kama hii CHAN inahusu wachezaji wa ndani kwa nini hawasiliniani na makocha wa timu zingine zinazoshiriki ligi kuu ili achague the best prayer akaachana na huu Usimba na Uyanga leo unamchafua kwamba timu ya Taifa haijafanya vizuri kwa sababu ya mapenzi binafsi ya kocha.
Mkuu kwenye andiko lako umeandika best prayer ulikuwa una maanisha best player?
Kuwa makini katika kuandika unaweza kujikuta unatoa kitu tofauti na ulichokusudia, ila umeeleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Errors ndogo ndogo ni za kupotezea jikite kwenye content hili ni group la michezo kwahiyo lengo lake lilijulikana
 
Wekeni kikosi nione hao wa yanga ni akina nani? Ninachofaham wachezaj wa starz kutoka yanga huwa wanajitolea kwa nguvu kubwa kwa ajili ya taifa ila wa timu zingine wanasubiri klabu zao ziambiwe kuna mechi dhidi ya yanga utaona kumbe wachezaji si ndio hawa !kaza makalio kisa tumfunge yanga baada ya halo kwenye majukumu mengine yanakuwa nyanya tu unashangaa mwisho wa ligi ubingwa jangwani.na litimu la taifa ukilijaza wachezaj wa aina hiyo matokeo yake ni kama ya Leo OUT.

Kweli mkuu
 
Upo sahihi mkuu
 
Zile tetesi kwamba kuna chuki za kocha wa Taifa Stars dhidi ya kuuvaa mkenge wa Usimba na Uyanga leo umedhihirika baada ya timu aliyoiteua kutofua dafu kwa Taifa dogo la Rwanda na kutoka sruhu Kocha inabidi ajitathimini kama hii CHAN inahusu wachezaji wa ndani kwa nini hawasiliniani na makocha wa timu zingine zinazoshiriki ligi kuu ili achague the best prayer akaachana na huu Usimba na Uyanga leo unamchafua kwamba timu ya Taifa haijafanya vizuri kwa sababu ya mapenzi binafsi ya kocha.
Kikosi kilikuwa na wachezaji wangapi wa simba na yanga!? Wabongo bwana hata bila kufuatilia mnakuja kubwabwaja tu humu. Je hao waliokuwepo wa simba hawana uwezo wa kucheza!??
 
Wekeni kikosi nione hao wa yanga ni akina nani? Ninachofaham wachezaj wa starz kutoka yanga huwa wanajitolea kwa nguvu kubwa kwa ajili ya taifa ila wa timu zingine wanasubiri klabu zao ziambiwe kuna mechi dhidi ya yanga utaona kumbe wachezaji si ndio hawa !kaza makalio kisa tumfunge yanga baada ya halo kwenye majukumu mengine yanakuwa nyanya tu unashangaa mwisho wa ligi ubingwa jangwani.na litimu la taifa ukilijaza wachezaj wa aina hiyo matokeo yake ni kama ya Leo OUT.

Sent using Jamii Forums mobile app
Msuva mbna anakimbikimbia bila mafanikio wala msaada
 
Zile tetesi kwamba kuna chuki za kocha wa Taifa Stars dhidi ya kuuvaa mkenge wa Usimba na Uyanga leo umedhihirika baada ya timu aliyoiteua kutofua dafu kwa Taifa dogo la Rwanda na kutoka suruhu Kocha inabidi ajitathimini kama hii CHAN inahusu wachezaji wa ndani kwa nini hawasiliniani na makocha wa timu zingine zinazoshiriki ligi kuu ili achague the best player akaachana na huu Usimba na Uyanga leo unamchafua kwamba timu ya Taifa haijafanya vizuri kwa sababu ya mapenzi binafsi ya kocha.
Hivi timu nzima ya Taifa stars inawachezaji wangapi wa yanga,,tuache ushabiki usio kua na maan,..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajibu hajawahi ichezea Yanga hata hao kina BoKo na Manula bado hawajaichezea simba. Hapa lawama zianzie TFF kwa kuzibeba timu hizi mbili hata ligi kuwa ni ya simba na Yanga. Lawama hawazikwepi maana kila siku huwa tunapinga maamzi ya marefa watanzania kulalia timu ndogo. Kama matimu hayatapendelewa tutawapata wachezaji wenye uchungu na Nchi yao.
Mkuu kizibeba timu mbili kivipi,,wakati yanga ina mchezaji mmoja tu nae ni msuva,,,,Yanga hapo inaingiaje sema wachezaji wa simba au azam ndio wapo wengi kwenye timu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo Coach...hajawahi kusimamia timu hata mechi za club mashindano ya CAF..TFF tafuteni coach mzungu mwenye mafanikio Magu atamlipa mshahara..Mayanja ni kama coach wa Ndondo Cup mbinu hakuna
 
Mayanga
 
Soka la bongo halieleweki...usipoweka wachezaji wa Simba Yanga au Azam bado watu watalalamika...Muarobaini wa hili tatizo sijui ni lipi
Hakuna mchezaji wa simba na yanga wala mchezaji wa boom fc. Wachezaji wa bongo viwango vyao wote vinafanana. Tatizo sio kocha wala wachezaji. Ni mfumo wetu wa soka, ni ligi yetu. Tuache kutafuta mchawi wakati wakati daktari keshatuambia tatizo la mgonjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom