Madhara ya Utumiaji wa Kondom

Katika kufanya utafiti hata mkojo unaweza kunywa au kuramba ili uweze kujuwa test yake. Kwani wewe ukiwa doctor huwezi kujaribu hivyo? Mkuu idoyo

hahaha!! wakati nasoma kemia, mwalimu alinambia kuwa in the laboratory i can use all sense organs except the tongue. kwa hiyo ili kujua ladha ya kitu, angalau ikoje, nitanusa kwa kuwa harufu ya kitu huendana na ladha yake.
 
Last edited by a moderator:
Swala la magonjwa ya ngozi hiyo ni kama allergy ya mtu na mtu. Kupima ufanisi wa kondomu kwa kujaza maji na pilipili hiyo ni sawa na wale jamaa wa ubungo wanaojifanya kuelimisha afya; wanachanganya majani ya chai, hamira na soda kwenye chupa ya uhai halafu wanakuambia tumboni mwako ukila hivyo vitu ndio panafurika kama inavyofurika hiyo chupa ya maji.
 
Iyo Kweli Kweli Kabsa Nilishawahi Ckia Kondom Haiziwi Ukimwi Bali Hueneza.je? Ushawahi Ckia Dokta Yeyote Anakuambia Haizuii Ukimwi Ujue Kuamba Hakuna Atakae Kuambiya Itabak Cri Yao Kama Waamerika Wacvotuambiya Hawatupend Wamerika Tuongezeke Cc Binadam Duniani Ndo Wameleta Family Planning Huu Ni Mpango Wao Wa REDUCING POPULATION YA BINADAMU DUNIANI na inasadikika gonjwa la AIDS wametengeza wao wakalipa jina lao AMERICA IDEA DESTROY SEX mana yake MPANGO WA MAREKANI KUANGAMIZA MWINGILIANO WA MWANAUME NA MWANAMKE DUNIANI NA WAMERIKA HALIPENDI HILI na ndio mana walianzisha AIDS,EBOLA,VITA WAR ON TERROR,UPUNGUFU ZA NGUVU ZA KIUME DUNIANI,MWINGILIANO KATI YA MWANAUME KWA MWANAUME NA MWANAMKE KWA MWANAMKE JE ANAWEZA KUPATIKANA MTOTO EMBRYO?
 

Uko sawa kabisa. Pili pili na mucus inayokuwa kwenye K wapi na wapi? Hayo ya fungus yanaeleweka especially kwa hizi cotempo condoms. Ila kondomu ikitumika kwa usahihi na ikiwa kwenye ubora wake inazuia STD's na mimba kwa % kubwa.

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Katika siku umeandika pumba basi hii post ni moja ya pumba.Umekuwa ukijitahidi kutibu watu kwa njia ya mitishamba kwa kuwaeleza dawa za asili ila hapa umepotea
Pengine hujafaham maambukizi ya HIV yanapatikana vipi.Pia hujajua kuwa Pilipili sio kipimo cha uimara wa kondom.Vipo vitu vinavyoiathiri condom ndio maana hata ukisoma maelezo kwenye kasha la kondom wameandika usipake kilainisho chochote zaid ya mafuta walioelekeza wao.
Inawezekana unafahamu kuwa unapotosha uma ila umeamua kuja kufanya hilo kwa makusudi kwa manufaa yako binafsi.
 
Sasa mkuu iyo condom we unavaaga muda masaa matatu... na boro lako kubwa ka ndoo ya maji kwene condom... tumien condom ayo madhara hakuna... ukimwi ni mpaka michubuko... na condom inazuia michubuko kupata

This is truth
 

wewe umejaribu kumweleza kama kuelewa aelewe. la nyongeza ni kwamba ukmbi huu ulibuniwa na watu wenye akili kkwa ajili ya kushiriki miswaada yenye akili sasa watu kama huyu na kondomu zake sijui Anatoka wapi.kuja kuwaletea watu shinkizo LA damu.
 
wewe umejaribu kumweleza kama kuelewa aelewe. la nyongeza ni kwamba ukmbi huu ulibuniwa na watu wenye akili kkwa ajili ya kushiriki miswaada yenye akili sasa watu kama huyu na kondomu zake sijui Anatoka wapi.kuja kuwaletea watu shinkizo LA damu.

wana sayansi kama Isack Newton ambae aligundua the law of motion alitoa Wazo lake na kuliweka mbele ya wana sayansi wengine likiwa na principles ambazo ndizo ilikuwa kianzilishi cha kujua nyota zinasogea vipi na vinginevyo kwenye force of gravity.
sasa hyu mvumbuzi wetu anaetuambia condom ni mbaya basi atuambie chombo au njia mbadala ya kufanya kukabiliana na tatizo hill kuliko kuota ndoto zakue za mchana. Mimi binafsi namwomba aache elimu take hiyo duni.i
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…