Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika kufanya utafiti hata mkojo unaweza kunywa au kuramba ili uweze kujuwa test yake. Kwani wewe ukiwa doctor huwezi kujaribu hivyo? Mkuu idoyodk. MziziMkavu umeramba kondom!!!?? hayo madude siyapendi, uuh!!
Katika kufanya utafiti hata mkojo unaweza kunywa au kuramba ili uweze kujuwa test yake. Kwani wewe ukiwa doctor huwezi kujaribu hivyo? Mkuu idoyo
Swala la magonjwa ya ngozi hiyo ni kama allergy ya mtu na mtu. Kupima ufanisi wa kondomu kwa kujaza maji na pilipili hiyo ni sawa na wale jamaa wa ubungo wanaojifanya kuelimisha afya; wanachanganya majani ya chai, hamira na soda kwenye chupa ya uhai halafu wanakuambia tumboni mwako ukila hivyo vitu ndio panafurika kama inavyofurika hiyo chupa ya maji.
Taja na faida zake basi
Sasa mkuu iyo condom we unavaaga muda masaa matatu... na boro lako kubwa ka ndoo ya maji kwene condom... tumien condom ayo madhara hakuna... ukimwi ni mpaka michubuko... na condom inazuia michubuko kupata
This is truth
Katika siku umeandika pumba basi hii post ni moja ya pumba.Umekuwa ukijitahidi kutibu watu kwa njia ya mitishamba kwa kuwaeleza dawa za asili ila hapa umepotea
Pengine hujafaham maambukizi ya HIV yanapatikana vipi.Pia hujajua kuwa Pilipili sio kipimo cha uimara wa kondom.Vipo vitu vinavyoiathiri condom ndio maana hata ukisoma maelezo kwenye kasha la kondom wameandika usipake kilainisho chochote zaid ya mafuta walioelekeza wao.
Inawezekana unafahamu kuwa unapotosha uma ila umeamua kuja kufanya hilo kwa makusudi kwa manufaa yako binafsi.
wewe umejaribu kumweleza kama kuelewa aelewe. la nyongeza ni kwamba ukmbi huu ulibuniwa na watu wenye akili kkwa ajili ya kushiriki miswaada yenye akili sasa watu kama huyu na kondomu zake sijui Anatoka wapi.kuja kuwaletea watu shinkizo LA damu.