Madhara yatokanayo na ulaji chips

Hahahahaha ila chips zege si zao la wanadaresalaam mkuu msitusizingizie wa mkoani bhana
Chips zege original yake ni Latin America, tena kule zege linakatiwa hoho njano, nyukendu na kijani. Ukiliona tu mate yanatoka.


 
Chips zege original yake ni Latin America, tena kule zege linakatiwa hoho njano, nyukendu na kijani. Ukiliona tu mate yanatoka.


View attachment 976725
Wabongo nyie ndo mabingwa wa kucopy kwanza..... Sasa mmebadilisha had tamaduni zenu mwisho mnaanza kulialia na mabwana zenu kazi wanashindwa tuuu mwisho mnakimbilia mkoani.... Mbadilike sasa chips ni za madem kwanza mwanaume halisi hawezi kushindia chips na juice ya miwa mkuu... [emoji41]
 
Kwa hiyo kaka BASHITE hadi maji yake ya kunywa yanawekwa chips mayai?
 
Unauzia wapi chips wewe. Kweli tamaa ya pesa ni mbaya,
 
Hakuna chakula kinachopunguza nguvu za kiume, tatizo ni mtindo wa ulaji namtindo wamaisha pia.

Kula chips zako, fanya mazoezi, kula matunda kunywa na maji.

Alafu miili ya watu haifanani na haina mapokeo yanayofanana kwa vyakula. Jua mwili wako kisha set mtindo wa ulaji na mfumo wa maisha kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…