Madhara yatokanayo na unywaji wa Red bull

denmark wamekataza uuzaji na matumizi ya redbull kutokana na madhara iliyonayo japo najua tu ina caffein nyingi mno madhara yake kwa undani,na ni hatari zaidi kwa watoto wadogo.Ila ka redbull ukiwa umechoka kanaleta nguvu mpya.
 

RedBull ina Caffeine which is a CNS (Central Nervous System) stimulant, kwa hiyo mara nyingi experience niliyonayo ni kuwa wanywaji huwa wanacomplain kukosa usingizi. Kukosa usingizi ni tatizo kama likiwa chronic maana hapo itabidi uanze kutumia dawa za usingizi. Madhara mengine ni silent huwezi kuyaona kwa macho lakini yanahusiana na caffeine pia.
 
rafiki yangu aligeuza redbull ndio bia disco siku ya pili tukazika kwa kifupi sio nzuri kwa matumizi ya binadam na inasemekana ilipigiwa marufuku rusia
 
Kwa mwanaume ukinywa kama mbili hivi unakuwa na hisia za kike.
 
kuna jamaa mmoja miaka ya nyuma wakati zinaingia wa mererani alikunywa 9 akafa si nzuri kabisa hizi
 
vodka ina sedective effect na caffeine ina stimulant effect so nikinywa sizimi
dr ni hatari sana kama unatumia vichochoe ili usizime wakati wa......
Labda kama umri wako umekwenda kidogo
 
mi jamaa wangu mmoja anatumia RedBull ana changanya na Valeur na Wine kidogo....mademu wanamkoma
 
sio kweli wewe umehadithiwa! redbull zinaongeza sana idadi ya sperms. ubaya wake ni kwamba hauwezi kuzicontrol. unaweza ukapiga bao tatu za faster mwenzio hata katakatikati hajafika. kama huamini kanywe leo usihadithiwe! ubaya ni kwamba zinaharibu mfumo wa kufikiri na ukishakuwa addicted huwezi fanya kazi mpaka ushtue. ina act kama cocaine nadhani wakati mwingine
 

-SASA alie kuletea kakwambia zina madhara ww unakunywa hutodhurika? huna jirani hapo
-Tetesi kunywa kidogo maana zinasababisha upungufu wa nguvu za kiume
 

Dah! Kweli haifai..
 
kufia ktk gemu.So many wazee ambao bado zile sifa za long time kuwa mtu akiwa kiwembe sana wamedhibitiwa na Energy drinks(Red bulls,shark etc). Hawa wazee na wengine ni wale wanovunja sheria vibaya na kutuacha tukiumia ktk familia kwa vile hakuna cha kuwafanya pale, wanapochukua wake ,dada, mama ,kaka poa, na watoto wetu, wanaotunyang`anya viwanja, kuuwa ndugu zetu huku mikono ya dola ikipata bganzi kuwashika.Hawa jamaa wana migonjwa ya moyo, kisukari etc...na jogoo ni wa kushtua...basi huwa wanabwia aina za vigra+akina Red Bulls+ konyagi ili wavute masaa .Wakitoka hapo mapigo ya moyo yanacheza ktk limits wakiingia ktk game na kabinti kichaa safari inaanza kwa kazi, karibia kupiga bao moyo unaongeza mapigo yanayozidi marginal errors za stabilizer,mzee anapita. Msiwauuze machangu wanafanya tunachokiota, wanafanya kilichoshinda sheria tena kwa makubaliano halali na mtuhumiwa.....malima najua hilo.
 
dogo umenitisha!
 
haha nawe upo ktk hizo anga bambanza..km hujajaza wese kiasi cha kuwa na matatizo yanayohusian ana unene bado inakufaa, shida ni kwamba bila hiyo unakuwa km teja ktk utendaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…