Madhara yatokanayo na unywaji wa Red bull

Madhara yatokanayo na unywaji wa Red bull

RED BULL Huuzwa katika maduka makubwa (Supermarkets) na madogo (Retail Shops) katika nchi ya Tanzania na watu wazima na watoto wetu wengi wana mazoea ya kunywa kinywaji hiki ambacho kinaweza kusababisha kifo!

Kemikali zinazopatikana katika kinywaji cha RED BULL zilitengenezwa maalum katika maabara za kijeshi za Ma rekani kwa ajili ya kutuliza mzuka wa maaskari wao wakati wakitekeleza mauaji ya kikatili sana dhidi ya wananchi wa Vietnam miaka ya sitini na sabini. Kemikali hizo zilitumika pia kama dawa ya kuwazindua watu waliozirai ("stress coma"). Hazikukusudiwa kutumiwa kama kinywaji au kilevi cha kawaida!

Duniani kinywaji hiki (RED BULL) huuzwa kama kitu cha kuleta msismko (Energizer Drink) na matangazo yake yanataja sifa zake kama ifwatavyo. "Ni kinywaji kinachompa mtu nguvu ya kustahimili na umakini. Humpa mtu kasi ya vitendo" ... na kadhalika.

RED BULL imesambaa katika nchi 100 kwa mpigo (nchi masikini!). Na matangazo yake kuwalenga vijana na watoto, hasa wanamichezo. Hawa ni rahisi kushabikia kinywaji hiki kibaya na kudhurika kiafya baadaye.

Katika hali yake ya matumizi ya sasa kinywaji hiki kiligunduliwa na jerumani Dietrich Mateschitz ambaye alikikuta huko Hong Kong kikiwa ni mojawapo ya madawa yaliyotumika katika kutengeneza dawa ya mswaki wa meno.

Dawa hiyo ilitengenezwa kwa kemikali ambazo zina kafeni na taurini ("caffeine and taurine"). Mjerumani huyo aliona vijana wajinga wa huko wakishabikia unywaji wake akaona mwanya wa kufanya biashara na akafanikiwa kukileta ulaya.

ATHARI ZA KUNYWA REDBULL
Kinywaji kinachotengenezwa na kusambazwa leo hivi kina kemikali mbaya iitwayo "Glucuronolactone", kemikali hatari ambayo ilitengenezwa na idara ya jeshi la Marekani wakati wa vita na Vietnam kwa ajili ya kutuliza mvurugiko wa mwazo wa maaskari wake uliotokana na mauaji ya kinyama waliokuwa wanafanya huko Vietnam.

Kwa sababu ya madhara makubwa ya kinywaji hiki nchi za FRANCE na DENMARK zimepiga marufuku kinywaji hiki na kibatiza jina la "MKOROGO WA UMAUTI". Katika nchi hizi, utafiti uligundua kuwa maaskari wa Marekani waliotumia kinywaji chenye kemikali ya "GLUCURONOLACTONE" waliishia kupata madhara ya maumivu makali ya kichwa, uvimbe wa ubongo na hata ugonjwa wa ini (Migraines, Cerebral tumours and liver diseases). Ni kwa sababu hiyo wamarekani waliacha kuwapa maaskari wao hicho kinywaji katika miaka ya sitini na sabini.

Jambo la kushangaza ni kuwa lebo ya RED BULL inaonyesha wazi kuwa kinywaji hiki kimetengenezwa kwa kemikali hatari ya "GLUCURONOLACTONE"! Ni kwa sababu hiyo serikali za Denmark na Ufaransa nazo zikapiga marufuku unywaji
wa RED BULL.

Pamoja na wauzaji wa RED BULL kuweka bayana kuwa ndani mwake mna hiyo kemikali hatari ya "GLUCURONOLACTONE" lebo ya RED BULL hailezi madhara makubwa yanayoletwa na kemikali hiyo. Madhara ambayo hayakuwekwa bayana kwa mnywaji ni kama yafuatayo:


  1. Ni hatari kwa mtu ambaye hafanyi kazi au mazoezi mazito sana kukitumia kwani kina tabia ya kuongeza msukumo wa damu na kasi ya mapigo ya moyo kiasi kwamba mtumiaji anaweza kupatwa na ugonjwa wa moyo.
  2. Mtumiaji anaweza kupatwa na ugonjwa wa damu kuvuja ubongoni kwani RED BULL ina kemikali zinazoifanya damu iwe nyembaba ili moyo upate kusukuma damu nyingi bila kutumia nguvu nyingi.
  3. Ni hatari kuchanganya RED BULL na pombe ya aina yoyote kwani mchanganyiko wake huwa ni sumu ("Deadly Bomb") inayoathiri musuli za ini la mtumiaji na kuiacha katika hali ambayo haitapona kamwe.
  4. RED BULL Ina vitamini B12 kwa wingi, vitamini ambayo hutumiwa kama dawa ya kuwazindua wagonjwa mahututi. Matumizi ya vitamini hii katika watu wazima ina athari za kuleta shinikizo la damu na humfanya mtu ajisikie kama mlevi.
  5. Unywaji wa RED BULL mara kwa mara huvuruga mfumo ya neva za fahamu na husababisha maradhi mithili ya mfadhaiko wa akili usioponyeka.

HITIMISHO
REDBULL ni kinywaji HATARI SANA ambacho hapana budi kipigwe marufuku katika nchi zote zinazoendelea kwani ni dhahiri kimetengenezwa na kusambazwa ili kiathiri afya za wananchi wasiojiweza wa nchi hizi masikini. Kwa kuwa wengi katika nchi hizi hutumia pombe za kila aina ni wazi kuwa kinywaji hiki kinalenga kuwamaliza watu wetu – kana kwamba ukimwi uliobuniwa na hao wabaya wetu hautoshi! N I VYEMA TUKAWALINDA WATOTO NA VIJANA WETU LA SIVYO HATUNA WARITHI!
 
Asante sana kwa darsa hili najua watu wengi wanachangamkia red bull kwa sababu hawakuyatambua madhara hayo.
 
Aiseee baba yangu asante kwa kutuelimisha,,vijana wengi wakunjwa hicho kinyaji ili wapige game za kutosha na mademu zao ila baada wa huu uzi watajifunza

ngoja nipate kinyaji changu mbege asilia mie
 
Juzi nilikunywa redbull yaani ni mateso matupu. Uume umesimama tangu siku hiyo, na umegoma kupumzika. Mpaka sasa sha tembea na mabinti kumi na sita na nimesha maliza miche nane ya mbuni, lakini bado tu kitu kimenyooka kama mstari wa ikweta
 
Sinywagi kabisa Redbull, Moyo wangu ulikataa. Ila to be safe, ni kunywa juices za home made tu. Maana vinywaji vingine kilasiku tunasikia Mapya.
 
Juzi nilikunywa redbull yaani ni mateso matupu. Uume umesimama tangu siku hiyo, na umegoma kupumzika. Mpaka sasa sha tembea na mabinti kumi na sita na nimesha maliza miche nane ya mbuni, lakini bado tu kitu kimenyooka kama mstari wa ikweta

khaaaaaaaaaa...
 
Asante kwa somo, nashukuru huwa situmii natuimia ile nyengine.
 
Juzi nilikunywa redbull yaani ni mateso matupu. Uume umesimama tangu siku hiyo, na umegoma kupumzika. Mpaka sasa sha tembea na mabinti kumi na sita na nimesha maliza miche nane ya mbuni, lakini bado tu kitu kimenyooka kama mstari wa ikweta

Leka uvutungulu ghwe kinyamana! Kyala ikukuketa. Maneno Huumba, itagoma kweli!
 
Miaka ya nyuma (1990+ hivi) niliwahi kusoma kikopo cha redbull. Kulikuwa na precaution kuwa ni stimulant na hairuhusiwi kunywa zaidi ya vikopo viwili in one seating. Of recent kila ninayemuhubiria hili anabisha manake label haijaandikwa kitu. Ngoja niwasakizie TFDA nione itakuwaje.

Asante kwa somo.
 
HITIMISHO
REDBULL ni kinywaji HATARI SANA ambacho hapana budi kipigwe marufuku katika nchi zote zinazoendelea kwani ni dhahiri kimetengenezwa na kusambazwa ili kiathiri afya za wananchi wasiojiweza wa nchi hizi masikini. Kwa kuwa wengi katika nchi hizi hutumia pombe za kila aina ni wazi kuwa kinywaji hiki kinalenga kuwamaliza watu wetu – kana kwamba ukimwi uliobuniwa na hao wabaya wetu hautoshi! N I VYEMA TUKAWALINDA WATOTO NA VIJANA WETU LA SIVYO HATUNA WARITHI!

Mkuu wa Young Master,
Thanx kwa kuni-direct hii useful post.....ckupata kuiona hapo kabla!! Binafsi, mie si mnywaji wa REDBULL, na tangu hiki kinywaji kiwepo sokoni, sizani kama kwa ujumla wake nimefikisha jumla ya angalau vi-tin vitatu!! Hata hivyo, kuna kinywaji kingine ambacho kinafanana sana REDBULL, nacho ni SHARK! Hiki kinywaji, nimekibugia sana; tena sana ingawaje kuna wakati nikaamua kupumzika kukifakamia!! Nilipumzika simply because, kila nilipokunywa zaidi ya vi-tin 2, basi siku hiyo nisingelala kabisa hususani kama ningekunywa jioni! Na kama REDBULL ina madhara makubwa kiasi hicho, basi nazani SHARK kina madhara zaidi ya hayo ya REDBULL kwani concentration ya SAHRK inaonekana ni kubwa zaidi kuliko REDBULL!
 
azam naye kaanzisha ya kwake, je ndiyo hiyo hiyo sumu au tofauti? wenye data tujuze
 
hivi hata ukiwa unakunywa mara moja moja? au kila siku? wat if nakunywa nikiwa kwanja(clubbing) namanisha huku unacheza mziki kwa kwenda mbele, ina madhara pia? maana nikiwa mkweli ndio kinywaji chengu kikubwa nikienda club but huwa nachanganya na maji nusu kwa nusu na sinywi zaidi ya mbili.

Usinywe tena
 
Back
Top Bottom