Zee Korofi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 1,604
- 1,430
Hichoi ndio kilinigokea mie mpaka leo laki tatu yangu sijaiona...niliishia kuona uchi wake tuu😭😭😭😭😭😭Mwanamke ameumbwa kupokea tu hajaumbwa kutoa ndio hata wakati wa ndoa sisi wanaume tunatoa mahari ukimkopesha mwanamke anaweza akakwambia mmalizane kwa kukupa uroda.
Kwa mguu huo wa bia unakopesheka fasta tuu😅😅😅nikopesheni mimi
Alianza kuniita baby pale chuoni.... niliingia kwenye mtego wake hatimaye nilikula tunda na deni langu liliishia hapo......zaidi Zaid nilianza kupiwa mizinga heavyKwanza kwa nini watu husema mwanamke hakopeshwi? Tuanzie hapo...
Mimi binafsi nimenusurika kuuawa baada ya kuitiwa mwizi kisa tu kukumbusha deni langu.
Aisee niliapa kutokopesha tena mwanamke.
Kuna jamaa naye alitoa uzi humu wa kupigwa na mmiliki wa bar kisa kudai change yake ya 10k TZS.
Alifikia hatua ya kusingiziwa vitu vya hovyo kuwa aliiba na kumdhalilisha mmiliki huyo(wa kike) kijinsia, wakati haikuwa kweli.
Aisee kwa nini mwanamke hakopeshwi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha [emoji38] unakopesha then unaitwa mwizi. Asaa ulitulia kama kweli vile au naimagine apa mpk nacheka [emoji23][emoji23][emoji23]
What kama simtaki?Mwanamke ameumbwa kupokea tu hajaumbwa kutoa ndio hata wakati wa ndoa sisi wanaume tunatoa mahari ukimkopesha mwanamke anaweza akakwambia mmalizane kwa kukupa uroda.
Beba zege acha uvivu[emoji28][emoji28][emoji28]nikopesheni mimi
[emoji23][emoji23][emoji23] we ni k3ng3 mkuu thats why akakupa uchiHichoi ndio kilinigokea mie mpaka leo laki tatu yangu sijaiona...niliishia kuona uchi wake tuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Wengi km wewe huwa mmetoka mikoani na kuja DSM chuo, mkija mnajikuta wajuaji na u much know mwingi kuliko hataw watoto wa town wenyeweAlianza kuniita baby pale chuoni.... niliingia kwenye mtego wake hatimaye nilikula tunda na deni langu liliishia hapo......zaidi Zaid nilianza kupiwa mizinga heavy
Manzi hakopeshwi
Sasa si mpaka nimtake?Uzuri ni kwamba unaweza kulipwa kwa mbunye
Kukopesha pesaBila shaka unaongelea kuazimisha pesa na sio kukopesha pesa.
Ooh! Na vipi ile wanaita kukopesha bila riba??Sio mwanamke tu,hata mwanaume mwenzako.
humkopeshi pesa, Bali unamuazimisha pesa.
Ukiamua kumkopesha Unapaswa kumsainisha na akabidhi dhamana, na pesa yako irudi na riba.