Zee Korofi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 1,604
- 1,430
Kwanza kwa nini watu husema mwanamke hakopeshwi? Tuanzie hapo...
Mimi binafsi nimenusurika kuuawa baada ya kuitiwa mwizi kisa tu kukumbusha deni langu.
Aisee niliapa kutokopesha tena mwanamke.
Kuna jamaa naye alitoa uzi humu wa kupigwa na mmiliki wa bar kisa kudai change yake ya 10k TZS.
Alifikia hatua ya kusingiziwa vitu vya hovyo kuwa aliiba na kumdhalilisha mmiliki huyo(wa kike) kijinsia, wakati haikuwa kweli.
Aisee kwa nini mwanamke hakopeshwi?