Madhila gani ulikumbana nayo kwa kumkopesha mwanamke?

Zee Korofi

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2021
Posts
1,604
Reaction score
1,430
Kwanza kwa nini watu husema mwanamke hakopeshwi? Tuanzie hapo...

Mimi binafsi nimenusurika kuuawa baada ya kuitiwa mwizi kisa tu kukumbusha deni langu.

Aisee niliapa kutokopesha tena mwanamke.

Kuna jamaa naye alitoa uzi humu wa kupigwa na mmiliki wa bar kisa kudai change yake ya 10k TZS.

Alifikia hatua ya kusingiziwa vitu vya hovyo kuwa aliiba na kumdhalilisha mmiliki huyo(wa kike) kijinsia, wakati haikuwa kweli.

Aisee kwa nini mwanamke hakopeshwi?
 
Mwanamke ameumbwa kupokea tu hajaumbwa kutoa ndio hata wakati wa ndoa sisi wanaume tunatoa mahari ukimkopesha mwanamke anaweza akakwambia mmalizane kwa kukupa uroda.
Hichoi ndio kilinigokea mie mpaka leo laki tatu yangu sijaiona...niliishia kuona uchi wake tuu😭😭😭😭😭😭
 
Kwanza kwa nini watu husema mwanamke hakopeshwi? Tuanzie hapo...

Mimi binafsi nimenusurika kuuawa baada ya kuitiwa mwizi kisa tu kukumbusha deni langu.

Aisee niliapa kutokopesha tena mwanamke.

Kuna jamaa naye alitoa uzi humu wa kupigwa na mmiliki wa bar kisa kudai change yake ya 10k TZS.

Alifikia hatua ya kusingiziwa vitu vya hovyo kuwa aliiba na kumdhalilisha mmiliki huyo(wa kike) kijinsia, wakati haikuwa kweli.

Aisee kwa nini mwanamke hakopeshwi?
Alianza kuniita baby pale chuoni.... niliingia kwenye mtego wake hatimaye nilikula tunda na deni langu liliishia hapo......zaidi Zaid nilianza kupiwa mizinga heavy

Manzi hakopeshwi
 
Sio mwanamke tu,hata mwanaume mwenzako.
humkopeshi pesa, Bali unamuazimisha pesa.

Ukiamua kumkopesha Unapaswa kumsainisha na akabidhi dhamana, na pesa yako irudi na riba.
 
Haha [emoji38] unakopesha then unaitwa mwizi. Asaa ulitulia kama kweli vile au naimagine apa mpk nacheka [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanamke ameumbwa kupokea tu hajaumbwa kutoa ndio hata wakati wa ndoa sisi wanaume tunatoa mahari ukimkopesha mwanamke anaweza akakwambia mmalizane kwa kukupa uroda.
What kama simtaki?
 
Hichoi ndio kilinigokea mie mpaka leo laki tatu yangu sijaiona...niliishia kuona uchi wake tuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23] we ni k3ng3 mkuu thats why akakupa uchi
 
Alianza kuniita baby pale chuoni.... niliingia kwenye mtego wake hatimaye nilikula tunda na deni langu liliishia hapo......zaidi Zaid nilianza kupiwa mizinga heavy

Manzi hakopeshwi
Wengi km wewe huwa mmetoka mikoani na kuja DSM chuo, mkija mnajikuta wajuaji na u much know mwingi kuliko hataw watoto wa town wenyewe
 
Sio mwanamke tu,hata mwanaume mwenzako.
humkopeshi pesa, Bali unamuazimisha pesa.

Ukiamua kumkopesha Unapaswa kumsainisha na akabidhi dhamana, na pesa yako irudi na riba.
Ooh! Na vipi ile wanaita kukopesha bila riba??
 
Back
Top Bottom