Madhila yanayoipata CHADEMA ndiyo yanayowafanya wananchi wakiunge mkono

Mwana kondoo 2025

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2025
Posts
495
Reaction score
580
Nimekuwa nikifuatilia siasa za nchi yetu kwa sasa CHADEMA kinaonekana kushika chati kwa misingi kuwa wananchi wanakiona kama chama kinachobeba ajenda za wananchi.

Viongozi wa dini wanakielewa, wanasheria, NGO na nje ya nchi nao wanawaunga mkono kwa vile tu kinapitia madhila mengi kuuawa, kukamatwa,kutishiwa, kupelekwa mahakamani, nk hali hii inaiongezea CHADEMA umaarufu bila sababu.

Serikali ibadilishe mbinu ya kushughulika na hawa watu. Upande wa pili kuna vyombo vinashughulika na hawa watu kumchafulia Rais. Tuje na mbinu mpya scientific.
 
shhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

ungewaacha wajikaange na mafuta yao hayo maFISSIEMU

sasa wewe umewastua, ingawa ishakuwa Too Late

Yaani FFU wanawarushia mabomu ya machozi wasindikizaji wa Heche leo pale Musoma
 
Back
Top Bottom