Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
Muda wa kujadili Mkataba mbovu wa DPW mbona umetosha, hapa ni Machogo kusubiri tu waarabu wakija na makanzu na vilemba na ushungi zao toka Dubai wawatimulie na kuwafurusha mbali! Wakiangukia Zenji itakuwa shega mwake mwake babake!
Saa ya ukombozi ni Sasa! Wakitua tu eapoti wafurushwe na Chadema, kelele bila action hakuna kitu!
Saa ya ukombozi ni Sasa! Wakitua tu eapoti wafurushwe na Chadema, kelele bila action hakuna kitu!