Madhumuni ya sex

Madhumuni ya sex

Umesema mme na mke, waliokataa kuoa au kuolewa hawana haki ya sex? Sema tu ni starehe kwa wote (watu wazima) watoto ni majaliwa. Ujue ni starehe namba one duniani.
 
sio madhumuni ya mada hii kuthibitisha yupo au hayupo
Nani kakupa mamlaka ya kupanga madhumuni ya ya mada hii?

Mada imetoa dai la hoja ya Mungu kama yupo.

Mpaka hapo imejiingiza katika mjadala wa uwepo wa Mungu.

Kwa sababu, kama Mungu hayupo halafu mada inajenga madai juu ya msingi wa hoja kwamba Mungu yupo, mada itakuwa imejengwa jatika msingi potofu kwamba Mungu yupo, wakati hayupo.

Kama mlitaka hii mada isiwe na habari za uthibitisho wa Mungu kuwepo, msingemtqka kabisa.

Mkishamtaja Mungu kama yupo, mmejiingiza katika mazungumzo ya kuthibitisha yupo.
 
Sidhani. Mbona lakini anapokea pesa pamoja na hatari (Magonjwa) zitokanazo na upokeaji wa pesa?
Mbona watu wengi wanafanya kazi za hatari za kuweza kuwaua kama kubeba madawa ya kulevya yanayoweza kuwapasukia tumboni, kwa sababu wanataka pesa tu?

Point yako ni ipi hapa? Kwamba mtu akifanya kazi yenye hatari kubwa hawezi kuwa anafanya hiyo kazi kwa kutafuta pesa tu? Is this your point?
 
Na kwako pia. Asante. Haijaniuma ila naona kujiachia sana nako kuna changamoto nyingi.
mimi n mtu ambaye hua sijali kuhusu nani ni nani na anafanya nn, so as long as ameamua kutumia kiungo chake mwenyewe sion haja coz n mtu mzima anajua kibaya na kizur
 
Mbona watu wengi wanafanya kazi za hatari za kuweza kuwaua kama kubeba madawa ya kulevya yanayoweza kuwapasukia tumboni, kwa sababu wanataka pesa tu?

Point yako ni ipi hapa? Kwamba mtu akifanya kazi yenye hatari kubwa hawezi kuwa anafanya hiyo kazi kwa kutafuta pesa tu? Is this your point?
No sir. Point yangu hapo ni kwamba Mpokeaji anataka pesatu; lakini wakati mwingine anapokea hata kile ambacho sio lengo lake i.e. anapokea pia maambukizi.
 
Back
Top Bottom