Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Ndio wafanyabiashara ya mwiliKuna watu wanaofanya sex kwa madhumuni zaidi ya hayo mawili??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio wafanyabiashara ya mwiliKuna watu wanaofanya sex kwa madhumuni zaidi ya hayo mawili??
Subiri mwanao aje kua anakitembeza kitaa ndo utajua maana halisi ya hicho ulichokisemamimi n mtu ambaye hua sijali kuhusu nani ni nani na anafanya nn, so as long as ameamua kutumia kiungo chake mwenyewe sion haja coz n mtu mzima anajua kibaya na kizur
jukumu langu ni kumfundisha namna ya kuishi na kubehave kuamua kua nani hizo sio shida zangu ni zake.Subiri mwanao aje kua anakitembeza kitaa ndo utajua maana halisi ya hicho ulichokisema
Mzazi wa hovyojukumu langu ni kumfundisha namna ya kuishi na kubehave kuamua kua nani hizo sio shida zangu ni zake.
usipende tufanane kila jambo lea mtoto wako vile unaona inafaa, niache ni wangu mimi sio wako ukiona nafaidi nenda leba kasukume wako umlee utakavyo mbwa ww.Mzazi wa hovyo
Dah! Mama umekasirika tena? Bora tu ungekuwa umekerwa na mazungumzo kuliko kusema eti naye aende leba akasuk.............. 😎.usipende tufanane kila jambo lea mtoto wako vile unaona inafaa, niache ni wangu mimi sio wako ukiona nafaidi nenda leba kasukume wako umlee utakavyo mbwa ww.
Hhhh matusi ya nn mwanawa adamu ? Shindana kwa hojausipende tufanane kila jambo lea mtoto wako vile unaona inafaa, niache ni wangu mimi sio wako ukiona nafaidi nenda leba kasukume wako umlee utakavyo mbwa ww.