Kwa ununuzi huu wa ndege marekani hata kama magufuli atakanyaga vip katiba Trump hawezi kumkoromea hata iweje.
Kwanini?
Kwa ununuzi huu wa ndege marekani hata kama magufuli atakanyaga vip katiba Trump hawezi kumkoromea hata iweje.
Adui yetu ni viongozi wetu kutokuwa na vision leo vietnam wameshatuacha Korea,kusini,Indonesia wapo wapiUlaya na Amerika hawana shida na udikteta wako as long as you stand for their exploitative interests.
Ukiwanyima ulaji ndiposa wanaanza kukupaka masizi na kukuita dikteta.
Mnasema ufalme wa Saudia ni wakidikteta lakini UK na US wanausapoti.
Mnasema Kagame ni dikteta lakini wote tunajua how close Kagame and Trump are.
Watu weusi hamjui adui yenu ni nani that is why you are here cowtowing to Europe and USA.