Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Wote kipaumbele chao ni kuendelea kubaki madarakani. Ili dikteta aendelee kubaki madarakani lazima awe na hela za kuwalipa wapambe, wanajeshi na vyombo vingine vya dola. So akili ya dikteta siku zote imefocus kwenye hela na uchumi.
Kama nchi ina resources kama mafuta basi akili yote ya dikteta itakuwa huko na kuacha sekta zingine zikijichokea.
Kama nchi haina resources kama ilivyo Rwanda au ilivyokuwa Korea Kusini au Taiwan basi dikteta anakuwa anahakikisha uchumi unakua kwa njia yoyote ile. Uchumi na pesa ndiyo vinamfanya aendelee kubaki madarakani.
Kiongozi wa kidemokrasia akili zake zipo kwenye kura(Halali au za kuiba). Kinachomuweka madarakani ni kura. Akili zao huwa maeneo yenye kura nyingi.
Dikteta anapeleka miundombinu sehemu zinakotoka pesa kama migodini nk. Kiongozi wa kidemokrasia anapeleka miundombinu sehemu zenye wapiga kura wengi au wanaomuunga mkono hata kama haisound kiuchumi.
Kuna bad apples kama Mabutu na Gbadolite, lakini overall madikteta wana unafinisi sana katika kuendesha uchumi kuliko viingozi wa kidemokrasia.