Niuzie kila moja elfu 5Nimeyapata shambani Kwa rafiki yangu Kuna yalikuwa juu tukachimba kidogo usawa wa futi moja ndio tukakuta mwamba vimekaa kwenye mwamba hivi
Classmate acha uhuni umezeeka ujueDhahabu hiyo mkuu, omba ulinzi wa police
Nikuuzie au umeuliza ukaambiwa kilo elfu 5Niuzie kila moja elfu 5
Kwa kiswahili?Garnet
Mkuu naweza pata mawasiliano yako
Kamaa nimezeeka.... mbona waifu bado ananiita bebi...๐Classmate acha uhuni umezeeka ujue
Wewe jinga sana ๐ ๐คฃ ๐คฃ lizee la hovyoKamaa nimezeeka.... mbona waifu bado ammaniita bebi...๐
Bila shaka mkuuMkuu naweza pata mawasiliano yako
Dogo unakuwaga na pigo fulani za miaka ya 1999 nyuma ๐คฃ๐คฃ๐คฃNaona unajipakulia minyama mkuu
Ndio, hayo ni madini ya Vito yajulikanayo kama red garnet.Garnet
Basi nitumie huku, edgar.mkojera@gmail.com.Bila shaka mkuu
Sijui aseeKwa kiswahili?
NiuzieNikuuzie au umeuliza ukaambiwa kilo elfu 5
15000 sawa nitakuuziaNiuzie
Sawa mkuu naenda mbio ๐ ๐ ๐ ๐Uranium hiyo,Irani ๐ฎ๐ท Wanaitaka hiyo nenda ubalozi wa wao mkuu ukatajilike ๐๐
Mimi nahisi ni makinikia ๐ ๐ ๐Makaa ya mawe๐คฃ
Njoo pm kwanza mkuuBasi nitumie huku, edgar.mkojera@gmail.com.