tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Hayo makaa ya mawe mkuu. Umeyaokota wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo makaa ya mawe mkuu. Umeyaokota wapi?
Sio makaa ya mawe kiongoziHayo makaa ya mawe mkuu. Umeyaokota wapi?
Ok sawa kabisaa sijui kilo moja bei gani Kwa sasaHaya ni industrial mineral yaani madini yatumikayo viwandani. Bei yake hupimea kwa kilo.
Nini hiko mzee? Au ni uranium?Sio makaa ya mawe kiongozi
Garnet wamesema wataalamuNini hiko mzee? Au ni uranium?
SawaMawe tu
Kwakweli January ngumu sanaVimbwanga vya January hivi.
Kila kitakachong'aa tu,mawazo yanaelekea kwenye pesa!
Sawa mkuu. Kapige hela ila unikumbuke japo kwa vocha mzeeGarnet wamesema wataalamu
Sawa mkuu usijaliSawa mkuu. Kapige hela ila unikumbuke japo kwa vocha mzee
Mbona kama makaa ya mawe?
Tena hovyo grade one....😝Wewe jinga sana 😂 🤣 🤣 lizee la hovyo
😂😂😂😂🤣 Njoo choma zone hapa tule vitu achana na bijampola ilikuwa zamani huko muachie bujibujiTena hovyo grade one....😝
Hapana mkuuMbona kama makaa ya mawe?
Nilikuwa nawinda huku kintinku mkuuMawe ya manati hayo, ulikuwa unawinda ndege gani 😅😅
Na tayari nimejua kuwa ni madini kweliUmekosea kuyapa hadhi ya madini wakati hata hujui ni kitu gani unacho,ungeuliza hivi ni vitu gani?,kama kuna mtu anavitambua ndio angejibu haya ni madini fulani