Madini gani haya?

Madini gani haya?

Vimbwanga vya January hivi.

Kila kitakachong'aa tu,mawazo yanaelekea kwenye pesa!
 
Umekosea kuyapa hadhi ya madini wakati hata hujui ni kitu gani unacho,ungeuliza hivi ni vitu gani?,kama kuna mtu anavitambua ndio angejibu haya ni madini fulani
 
Mawe ya manati hayo, ulikuwa unawinda ndege gani 😅😅
 
Umekosea kuyapa hadhi ya madini wakati hata hujui ni kitu gani unacho,ungeuliza hivi ni vitu gani?,kama kuna mtu anavitambua ndio angejibu haya ni madini fulani
Na tayari nimejua kuwa ni madini kweli
 
Back
Top Bottom