Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupia picha mkuuWAKUU mwenye ufahamu kuhusu madini haya, naomba unipe mwangaza katika haya
1. soko lake liko wapi? ntapata wapi soko?
2. kama unamfahamu mnunuzi mkubwa?
Tafadhari nahitaji msaada wenu wakuu
Wewe una mgodi wa Galena au unanunua na kuuza? Supply capacity yako ni Tani ngapi kwa Wiki, Mwezi na Mwaka?WAKUU mwenye ufahamu kuhusu madini haya, naomba unipe mwangaza katika haya
1. soko lake liko wapi? ntapata wapi soko?
2. kama unamfahamu mnunuzi mkubwa?
Tafadhari nahitaji msaada wenu wakuu
Una galena tani ngapi?? Wasiliana nami 0716778844WAKUU mwenye ufahamu kuhusu madini haya, naomba unipe mwangaza katika haya
1. soko lake liko wapi? ntapata wapi soko?
2. kama unamfahamu mnunuzi mkubwa?
Tafadhari nahitaji msaada wenu wakuu