Madini ya "GALENA"

Madini ya "GALENA"

BIA BORA

Senior Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
144
Reaction score
164
WAKUU mwenye ufahamu kuhusu madini haya, naomba unipe mwangaza katika haya
1. soko lake liko wapi? ntapata wapi soko?
2. kama unamfahamu mnunuzi mkubwa?

Tafadhari nahitaji msaada wenu wakuu
 
Tupia picha mkuu
 
Wewe una mgodi wa Galena au unanunua na kuuza? Supply capacity yako ni Tani ngapi kwa Wiki, Mwezi na Mwaka?
 
WAKUU mwenye ufahamu kuhusu madini haya, naomba unipe mwangaza katika haya
1. soko lake liko wapi? ntapata wapi soko?
2. kama unamfahamu mnunuzi mkubwa?

Tafadhari nahitaji msaada wenu wakuu
Una galena tani ngapi?? Wasiliana nami 0716778844
 
Back
Top Bottom