mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,400
- 3,853
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari ya DR Masinji kunyimwa mkono na Halima Mdee ina trend kuliko hii Dkt. Mashinji afika Kisutu kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wa CHADEMA. Mdee agoma kumpa mkono, Wakili ajitoa kumteteaKatibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally amesema kati ya Madiwani hao, 10 ni Madiwani wa Kuchaguliwa na Mmoja ni wa Viti Maalumu huku timu hiyo inayoongozwa na Meya ikiwa na Viongozi Watatu wa Juu wa CHADEMA.
Amesema kuwa Madiwani hao wanatoka katika Jiji la Mbeya kwenye Halmashauri inayoongozwa na CHADEMA na Mbunge wa Jimbo hilo ni Joseph Mbilinyi (Sugu) na kuwa huo ni ugeni mkubwa tangu aanze kupokea Wageni.
Aidha, amesema ameongea na Madiwani hao na kumueleza kwanini wanafanya uamuzi huo wakati huo na amefurahi sana maana kazi yake ni kuifanya CCM kutoa ushawishi na kupata wafuasi kila kona ya Nchi.
kwani ccm mnataka kuninunua hata mimi ?kamanda Kyela Mwakyembe anapita bila kupingwa, msipotubu laana ya Dr.Slaa itawapiga vibaya
Swali fikirishi je Meya ama madiwani wakijiitoa kabla ya muda wao wakumaliza majukumu yao kisheria marupuru yao wanaweza yapata na km watayakosa je upstairs wako sawa ama huko nyuma ya pazia zipo zaidi 'thinking outside the box'Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally amesema kati ya Madiwani hao, 10 ni Madiwani wa Kuchaguliwa na Mmoja ni wa Viti Maalumu huku timu hiyo inayoongozwa na Meya ikiwa na Viongozi Watatu wa Juu wa CHADEMA.
Amesema kuwa Madiwani hao wanatoka katika Jiji la Mbeya kwenye Halmashauri inayoongozwa na CHADEMA na Mbunge wa Jimbo hilo ni Joseph Mbilinyi (Sugu) na kuwa huo ni ugeni mkubwa tangu aanze kupokea Wageni.
Aidha, amesema ameongea na Madiwani hao na kumueleza kwanini wanafanya uamuzi huo wakati huo na amefurahi sana maana kazi yake ni kuifanya CCM kutoa ushawishi na kupata wafuasi kila kona ya Nchi.
Hayo mengine tofauti na kesi ya Lugola hayakuhusu wewe. Komaa na kesi ya Kangi Lugola!!Acheni kutu pumbaza Tunataka kujua issiue ya Lugola. Ni lini mnamfikisha mahakamani? Maana hizi zuga ni za kuwafanya Watanzania wasahau ya Lugola and company.
Hivi CCM chama chenye miaka mingi kwenye siasa kuliko vyama vyote Africa mmefikia mahali pa kusherehekea kupokea wapinzani?
Mna tia aibu. Ni kwamba mmekosa kabsa mbinu mbadala wa kufanya siasa? Nawainea huruma. Maana sasa huku mna bebwa na dola, huku tume ya uchaguzi, kule kununua wapinzani hadi raha.
Sent using Jamii Forums mobile app
'When opportunity comes knocking'!Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally amesema kati ya Madiwani hao, 10 ni Madiwani wa Kuchaguliwa na Mmoja ni wa Viti Maalumu huku timu hiyo inayoongozwa na Meya ikiwa na Viongozi Watatu wa Juu wa CHADEMA.
Amesema kuwa Madiwani hao wanatoka katika Jiji la Mbeya kwenye Halmashauri inayoongozwa na CHADEMA na Mbunge wa Jimbo hilo ni Joseph Mbilinyi (Sugu) na kuwa huo ni ugeni mkubwa tangu aanze kupokea Wageni.
Aidha, amesema ameongea na Madiwani hao na kumueleza kwanini wanafanya uamuzi huo wakati huo na amefurahi sana maana kazi yake ni kuifanya CCM kutoa ushawishi na kupata wafuasi kila kona ya Nchi.
Siasa za kise**
Zinafanywa na ccm.
Wenzio umewafunga mikono na miguu kisha inawapiga za mbavu...
Ndiyo maana ya ule wimbo...
Umevunja kidole cha mwisho ukaacha dole la kati...
Umepiga bomu mochwari kisha unajisifu kuua...nk.
Tutafika tu kwa kutoana roho..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe! Ndio maana makonda alionekana huko mbeya usiku akiongoza magari matatu meusi! Kumbe aliwapelekea pesa za manunuzi! Basi sawa, tulia atapita bila kupingwa na hii itakuwa aibu kwa wanyaki kuongozwa na mwanamke Jambo ambalo halijawahi kutokea katika historian ya wanyakyusa!kamanda Kyela Mwakyembe anapita bila kupingwa, msipotubu laana ya Dr.Slaa itawapiga vibaya
It doesn't matter! Kwa nini watu wa CAHDEMA wanahamishwa kiurahisi? Hiyo ni ukosefu wa umakini ktk uongozi. Kuna factors nyingi zinazowakatisha tamaa watu kubaki CHADEMA. M/kiti amekuwa ni mtu wa kujidai kujua uongozi na kujitapa kuwa na kampeni za kichinichini. Chini wapi sasa?Titicomb,
Mkakati unafanywa kijanja sana, makonda alikuwa Mbeya kutekeleza hilo. Mkuu dunia haina siri
Adui muombee njaa kwa njaa iliyopo miongoni mwetu nani atakataa donge nono nasikia mmmeanza kutoa mikopo hongereni sana kwa kujipanga vizuri kwa miheraa!It doesn't matter! Kwa nini watu wa CAHDEMA wanahamishwa kiurahisi? Hiyo ni ukosefu wa umakini ktk uongozi. Kuna factors nyingi zinazowakatisha tamaa watu kubaki CHADEMA. M/kiti amekuwa ni mtu wa kujidai kujua uongozi na kujitapa kuwa na kampeni za kichinichini. Chini wapi sasa?
btw. Katibu yuko wapi na mbinu mpya? au naye anaagizwa tu bila mbinu zake?
kamanda Kyela Mwakyembe anapita bila kupingwa, msipotubu laana ya Dr.Slaa itawapiga vibaya
Hao Ndugu zetu wameamua kujitoa ufahamu,kwao ni shangwe Kamanda hata moja akijitoa mhanga.Wanashwishi au wanalazimisha na vitisho lukuki?Acheni kutu pumbaza Tunataka kujua issiue ya Lugola. Ni lini mnamfikisha mahakamani? Maana hizi zuga ni za kuwafanya Watanzania wasahau ya Lugola and company.
Hivi CCM chama chenye miaka mingi kwenye siasa kuliko vyama vyote Africa mmefikia mahali pa kusherehekea kupokea wapinzani?
Mna tia aibu. Ni kwamba mmekosa kabsa mbinu mbadala wa kufanya siasa? Nawainea huruma. Maana sasa huku mna bebwa na dola, huku tume ya uchaguzi, kule kununua wapinzani hadi raha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama CHADEMA pesa yote inaliwa na M/kiti wengine mulioko mitaani munanufaika na nini? Au hizo T-Shirts za mkutano mkuu?Adui muombee njaa kwa njaa iliyopo miongoni mwetu nani atakataa donge nono nasikia mmmeanza kutoa mikopo hongereni kwa kujipanga vizuri kwa miheraa!
Mamndenyi ni wewe au ID imevamiwa..!!??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna wajinga wapo humu watasema wamenunuliwa!
Hili chama lina watu wanajiuza balaa. Ndio maana hata Mbowe na kina Lisu walijiuza kwa Lowasa ila wao waliuza hadi wafuasi wao kama kina Chakaza, Mmawia, Salary slip nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah..nimejikuta naskia huruma sana baada ya kusoma comment yako hii..pole sana..Mkakati wa kuisambaratisha Chadema kwa gharama yeyote ile unaendelea.
Kumbe haina Wafuasi? Hongera ccm kwa biashara nzuri ,Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally amesema kati ya Madiwani hao, 10 ni Madiwani wa Kuchaguliwa na Mmoja ni wa Viti Maalumu huku timu hiyo inayoongozwa na Meya ikiwa na Viongozi Watatu wa Juu wa CHADEMA.