Madiwani 11 wa CHADEMA wakiongozwa na Meya wa Jiji la Mbeya wahamia CCM

Habari ya DR Masinji kunyimwa mkono na Halima Mdee ina trend kuliko hii Dkt. Mashinji afika Kisutu kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wa CHADEMA. Mdee agoma kumpa mkono, Wakili ajitoa kumtetea
 
Baada ya kuungwa mkono na kila aina ya viongozi hata kufikia kuacha vyeo vyao nadhani CCM sasa ina Confedence kuwa inaweza kushinda uchaguzi bila wizi wa kura.

CCM itangaze kudai tume huru ili iwashinde wapinzania waliokimbiwa na wabunge na madiwani.

Tume huru itaifanya CCM iaminike na watu na dunia ijue kuwa CCM inapendwa kwa dhati.

Tume huru ndio iwe kipimo cha kukubalika kwa vyama .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali fikirishi je Meya ama madiwani wakijiitoa kabla ya muda wao wakumaliza majukumu yao kisheria marupuru yao wanaweza yapata na km watayakosa je upstairs wako sawa ama huko nyuma ya pazia zipo zaidi 'thinking outside the box'
 
Hayo mengine tofauti na kesi ya Lugola hayakuhusu wewe. Komaa na kesi ya Kangi Lugola!!
 
'When opportunity comes knocking'!

Je hii inaweza kuwa chachu/kichocheo wanachoweza kukitumia CHADEMA kufanya vizuri zaidi?

Kama wanao wanachama zaidi ya hao madiwani wanaoondoka sasa hivi, sioni kwa nini wasifanye vizuri.

Hawa wanaoondoka sasa wanawapa mwanya wa kujipanga vizuri zaidi na kufanya jitihada za ziada kukijenga chama hicho sehemu hiyo.
 

Kamanda mbona unapingana na demokrasia? Hahahaha ndio demokrasia hiyo mnayoililia kila leo hahaaha
 
kamanda Kyela Mwakyembe anapita bila kupingwa, msipotubu laana ya Dr.Slaa itawapiga vibaya
Kumbe! Ndio maana makonda alionekana huko mbeya usiku akiongoza magari matatu meusi! Kumbe aliwapelekea pesa za manunuzi! Basi sawa, tulia atapita bila kupingwa na hii itakuwa aibu kwa wanyaki kuongozwa na mwanamke Jambo ambalo halijawahi kutokea katika historian ya wanyakyusa!
 
Titicomb,
Mkakati unafanywa kijanja sana, makonda alikuwa Mbeya kutekeleza hilo. Mkuu dunia haina siri
It doesn't matter! Kwa nini watu wa CAHDEMA wanahamishwa kiurahisi? Hiyo ni ukosefu wa umakini ktk uongozi. Kuna factors nyingi zinazowakatisha tamaa watu kubaki CHADEMA. M/kiti amekuwa ni mtu wa kujidai kujua uongozi na kujitapa kuwa na kampeni za kichinichini. Chini wapi sasa?

btw. Katibu yuko wapi na mbinu mpya? au naye anaagizwa tu bila mbinu zake?
 
Adui muombee njaa kwa njaa iliyopo miongoni mwetu nani atakataa donge nono nasikia mmmeanza kutoa mikopo hongereni sana kwa kujipanga vizuri kwa miheraa!
 
Hao Ndugu zetu wameamua
Hao Ndugu zetu wameamua kujitoa ufahamu,kwao ni shangwe Kamanda hata moja akijitoa mhanga.Wanashwishi au wanalazimisha na vitisho lukuki?
Mbona hatuoni msururu wa wanachama maana hawa walikuwa ni viongozi,inatosha kushawishi viongozi tu?
 
Adui muombee njaa kwa njaa iliyopo miongoni mwetu nani atakataa donge nono nasikia mmmeanza kutoa mikopo hongereni kwa kujipanga vizuri kwa miheraa!
Sasa kama CHADEMA pesa yote inaliwa na M/kiti wengine mulioko mitaani munanufaika na nini? Au hizo T-Shirts za mkutano mkuu?
 
Hivi si walishatoaga "deadline" ya kupokea hao mamluki ?
 
Kumbe haina Wafuasi? Hongera ccm kwa biashara nzuri ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…