Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Maisha lazima yasonge tu
In God we Trust
Asee!! Kama ni hivi basi Sugu na Prof Jay wapo njiani.
In God we Trust
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asee!! Kama ni hivi basi Sugu na Prof Jay wapo njiani.
Chadema haiwezi kusambaratika sema baadhi ya wanachadema wenye vi element vya utumwa watakubali kwenda utumwaniMkakati wa kuisambaratisha Chadema kwa gharama yeyote ile unaendelea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna wajinga wapo humu watasema wamenunuliwa!
Hili chama lina watu wanajiuza balaa. Ndio maana hata Mbowe na kina Lisu walijiuza kwa Lowasa ila wao waliuza hadi wafuasi wao kama kina Chakaza, Mmawia, Salary slip nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini chama kinapitisha wagombea ambao wananunulika au waoga kupambana?
Kwanini chama kinapitisha watu ambao hawavumilii njaa?
Hawa wote watapewa vyeo halafu Zoezi L's kuiua CCM wakiwa kulekule ndani litatimia.Wakati huo wapiga zumari wanashitukia wapo nje ndani wamejaa wagenimaana kazi yake ni kuifanya CCM kutoa ushawishi na kupata wafuasi kila kona ya Nchi
Kuukataa ukweli sio kushughulikia na kulimaliza tatizo. Lazima watu wa CHADEMA sasa wanze kuukubali ukweli mchungu kwamba kuna tatizo ndani ya chama na kutafuta suluhisho la kudumu.
Huyu Mhaya FAKE sijui ana agenda gani hasa ...............!!
AmenAkili zako bado zipo kwa chakubanga pale lumumba
In God we Trust
SawaKamuulize aliye wanunua
In God we Trust
Upo sahihi ukweli sinao mimi, ukweli upo kwenye matukio ya kuhama wanachama na viongozi wa upinzani.Huna ukweli wowote wewe zoba
In God we Trust
Upo sahihi ukweli sinao mimi, ukweli upo kwenye matukio ya kuhama wanachama na viongozi wa upinzani.
Ukweli wanao rohoni mwao wanao hama.
Mimi nawakumbusha viongozi wetu wautafute ukweli juu ya haya matukio. Wao wanaweza kupuuzia au kushughulikia tatizo.
Mkuu,Kamshauri chakubanga, habari za cdm wachana nazo
In God we Trust