Madiwani 11 wa CHADEMA wakiongozwa na Meya wa Jiji la Mbeya wahamia CCM

Madiwani 11 wa CHADEMA wakiongozwa na Meya wa Jiji la Mbeya wahamia CCM

Mkakati wa kuisambaratisha Chadema kwa gharama yeyote ile unaendelea.
Chadema haiwezi kusambaratika sema baadhi ya wanachadema wenye vi element vya utumwa watakubali kwenda utumwani
FB_IMG_1521609809883.jpeg


In God we Trust
 
Hao wote walio hama wamenunuliwa na ni sawa na watumwa kilicho tofauti kwao ni mavazi tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna wajinga wapo humu watasema wamenunuliwa!

Hili chama lina watu wanajiuza balaa. Ndio maana hata Mbowe na kina Lisu walijiuza kwa Lowasa ila wao waliuza hadi wafuasi wao kama kina Chakaza, Mmawia, Salary slip nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
FB_IMG_1521609809883.jpeg


In God we Trust
 
Ndiyo mwenyekiti wao atakapo anza kusonya
maana kazi yake ni kuifanya CCM kutoa ushawishi na kupata wafuasi kila kona ya Nchi
Hawa wote watapewa vyeo halafu Zoezi L's kuiua CCM wakiwa kulekule ndani litatimia.Wakati huo wapiga zumari wanashitukia wapo nje ndani wamejaa wageni

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]

In God we Trust
 
Huna ukweli wowote wewe zoba
Kuukataa ukweli sio kushughulikia na kulimaliza tatizo. Lazima watu wa CHADEMA sasa wanze kuukubali ukweli mchungu kwamba kuna tatizo ndani ya chama na kutafuta suluhisho la kudumu.

In God we Trust
 
Hivi mnataka Katibu Mkuu wa CCM aache kufurahia ugeni mkubwa kama huo tena unaongozwa na Mstahiki Meya wa Jiji?,acheni ungese nyie hicho ni chama dume lazima kionyeshe kuwa ni chama dume,pesa ipo ya kutosha kwa nini wasirudi CCM?

hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa Maisha ni pesa na pesa ndo Maisha waacheni wafu wazikane wenyewe sisi yettu macho
 
Huna ukweli wowote wewe zoba

In God we Trust
Upo sahihi ukweli sinao mimi, ukweli upo kwenye matukio ya kuhama wanachama na viongozi wa upinzani.
Ukweli wanao rohoni mwao wanao hama.

Mimi nawakumbusha viongozi wetu wautafute ukweli juu ya haya matukio. Wao wanaweza kupuuzia au kushughulikia tatizo.
 
Kamshauri chakubanga, habari za cdm wachana nazo
Upo sahihi ukweli sinao mimi, ukweli upo kwenye matukio ya kuhama wanachama na viongozi wa upinzani.
Ukweli wanao rohoni mwao wanao hama.

Mimi nawakumbusha viongozi wetu wautafute ukweli juu ya haya matukio. Wao wanaweza kupuuzia au kushughulikia tatizo.

In God we Trust
 
Majina ya hao madiwani kama kuna mdau anayo aweke hapa tuwajue!
 
Kamshauri chakubanga, habari za cdm wachana nazo

In God we Trust
Mkuu,

CHADEMA sio mali yako, CHADEMA ni mali ya umma,

Ni chama kinacho endeshwa na fedha za walipa kodi wakiwemo watoto wangu wanaponunua pipi na kutozwa VAT.

Kimsingi hata watoto wangu wanaweza kuhitaji majibu juu ya suluhisho la matatizo yanayo ikumba taasisi wanayo igharamia.

Labda waje viongozi wa juu wa CDM kukataa nisiwashauri hapa JF naweza kuwaelewa sio wewe unae shabikia siasa kama soka la Simba na Yanga.
 
Back
Top Bottom