Madiwani 11 wa CHADEMA wakiongozwa na Meya wa Jiji la Mbeya wahamia CCM

Madiwani 11 wa CHADEMA wakiongozwa na Meya wa Jiji la Mbeya wahamia CCM

Peleka unafiki wako huko kwenu lumumba

In God we Trust
My way of associating myself in politics is far beyond your understanding of the politics, and what it means to support a political party or any politician.

I'm not affiliated to any political party, I support certain cause which guarantees best national interests.

I'm no political party cadre like you, I don't use politics to earn my daily bread, and I don't use it to make my ends meet either.

Get it that way, and let it sink in!
 
usiogope vikao vyao muda utapiga kelele yote wanayofanya maana wanatuona sisi wote ni kama ndala wanatuacha mlangoni wao wanaingia ndani
 
Je hao uliwataja hapo juu nao mliwaita wananunuliwa kama mnavyowatuhumu hawa wanaohama sasa hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
Usijitoe akili, ulishawahi kuona suala la mtu kuhama chama linageuzwa kuwa kama biashara ya madawa ya kulevya? Wewe labda kama huna akili, diwani ambaye amebakiza miezi michache amalize kipindi chake alipwe mafao akubali kuachia nafasi yake halafu apoteze hayo mafao yake?
 
Katibu mkuu anafanya ziara ya kuvuna eeeh.. Haya kila la kheri.. Sasa kubalini uchaguzi wa October uwe huru na haki, ili muone kama manunuzi, vitisho na mikwala yenu itawasaidia kupata kura..

Yaani kumbe hao wanaoenda ccm ndio watagombea.
Vipi wale waliokipigania chama.

Kumbe kuwa chadema unakuwa na value kuliko kuwa ccm.

Nashauri vijana wacheze haka kamchezo.

Wajiunge na upinzani wajenge majina alafu wanunuliwe alafu warudi ccm
 
I told you!
Kuna tatizo kubwa guys.

Wale wenye macho wanaona, wanye fikra za kuona mbali wanaona, wenye masikio wanasikia.
Wenye kukubali ushauri na ukosoaji wataanza kutuelewa tunaopiga kelele kuna tatizo sehemu ndani ya upinzani.

Siamini kama watu wote hawa wana nunuliwa.
Erythrocyte nilisikia Mbeya watu wenye msimamo hawanunuliki sasa hiki sijui ndio nini?!!!
'NASHINDWA KUSHANGAA'.
Exactly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom