mlimilwa
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,268
- 3,439
Basi kamati ya wazazi ya kata au kijiji ikimkuta mwalimu anacheza na watoto chini ya miaka 18 wamo ndani. Wamchukulie hatua hata kwaonyo kupitia kilanja wake. Mwalimu mkuu.Walimu wanacheza tena imekuwa ndio kazi yao. Maana mshahara huwa unakata baada ya wiki tu.