Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo siku upepo ukibadilika hakuna jiwe litasalia,the matter of timeKaskazini kunawaka moto.
Gambo amesema uvccm ukiwepo wewe ni wanafiki na mkizeeka lazima mtakuwa wachawiBaada ya Humphrey Pole Pole sasa ni zamu ya Kheri James kuipasua ngome ya Chadema huko kaskazini.
Kaskazini kunawaka moto.
Tangu waanze kuhama nini kimeabadilka CHADEMA?
Moto wa Magufuli ni zaidi ya Moto.
Motroo motroo...nasema mootro mootro
Hahahaha mnanua matunda badala ya kununua miti ya matunda, mna akili kweli nyie.?
Tupe habari kamili mkuuBaada ya Humphrey Pole Pole sasa ni zamu ya Kheri James kuipasua ngome ya Chadema huko kaskazini.
Ahhhhhh halo hii itadhoofisha upinzani. Idhibitiwe angalau kwa kanuni za uchaguziChama kimejiozea kina nuka uvundo kwanini kisikimbiwe?
Zilete mkuu tuwaamshe watu visukari vyao.Habari kamili ndio hiyo Picha Zinakuja ha ha ha
Uku wakiwa na mizinga yao, Bado sugu nae mlevi sana wa Nyagi yuleNa hii Covid 19 Watu watateleza sana kwenye ngazi
Unataka nikuonyeshe??Tutajie huo unaouita mti wa matunda tukuoneshe...
2020 Tena