Madiwani Watano kupitia Chadema huko Arumeru wahamia CCM

Madiwani Watano kupitia Chadema huko Arumeru wahamia CCM

Baada ya Humphrey Pole Pole sasa ni zamu ya Kheri James kuipasua ngome ya Chadema huko kaskazini.View attachment 1478655
Huyo ni mmoja wa Waliojiunga leo hii

Wametumia haki zao kikatiba. Sasa umetowekea huyu mmoja, je hao wengine mbona hujatuwekea? Tupe pia majini na kata walizotoka.
 
Kaskazini kunawaka moto.

Wapiga kura wa kaskazini walishatoka kwenye zama za mawe. Mnaweza kuwachukua viongozi hata wote ili kuteka watu kisaikolojia, lakini kwa watu wenye upana wa uelewa kama wa kaskazini, ni ngumu mno kuwahadaa. Bado mbinu halisi ya ccm kushinda hasa kaskazini ni tume ya uchaguzi isiyo huru, na mbeleko ya vyombo vya dola fullstop.
 
Back
Top Bottom