KJ07
JF-Expert Member
- Dec 17, 2021
- 2,370
- 5,381
Umepita wapi wewe mkuu ambapo ni njia ya tofauti isiyojulikana.Hamjui kule tulipopita. Mngejua mngetuheshimu.
Kosa lenu ni kudhani kila kitu mnapaswa kukijua nyinyi tu.
Hapo
Mkuu pumzika.Madogo wabishi sana
Mkuu taikon wa fasihi.
Na huu utaikon nakuachia kwa muda tu ila nao tutakunyakua.
😁😁😁😁