ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Kanisanisasa tukikwama tukaombe wapi bro š¤£š¤£
Huyu bro anaroho mbaya sana! Amekuja kunisema humu kisa jana nilimwomba hela ambayo ingenisaidia kujipatia chapati mbili na chai .sasa tukikwama tukaombe wapi bro š¤£š¤£
Ulisema wewe una maisha mazuri serikali imekupatia kila kitu hadi passportJamani madogo hasa new members acheni hii tabia ya kuingia inbox za watu kuanza na Bro naomba hela ya kula.Ukienda inbox za watu 100 ukitegemea mmoja atakutumia pesa hiyo siyo sawa.
Pesa hutafutwa, siyo kuombwa ovyo. Kama kweli umekwama siku hiyo na una njaa anza kutafuta msaada mtaani kwenu hukohuko kwa majirani. Hata migahawani kuna uwezekano ukapata msaada wa chakula kuliko kutuma copy-paste kwa members
Bora hata uombe fursa, kazi au connection kuliko kuomba hela moja kwa moja. wanadhani kila mtu wa JF ni tajiri. Ukweli ni kwamba sisi ni akina nyie tu tupo hapa kutafuta madini, maarifa na habari.
Yaani ndani ya wiki moja nakuta meseji tatu tofauti zote zinaanza na Bro sikujui hunijui ila nina shida, nisaidie hela ya kula.
anza na wazazisasa tukikwama tukaombe wapi bro š¤£š¤£
Mimi niliacha ku post kule kwenye uzi wa mikeka kwa issue hizi hizi.Jamani madogo hasa new members acheni hii tabia ya kuingia inbox za watu kuanza na Bro naomba hela ya kula.Ukienda inbox za watu 100 ukitegemea mmoja atakutumia pesa hiyo siyo sawa.
Pesa hutafutwa, siyo kuombwa ovyo. Kama kweli umekwama siku hiyo na una njaa anza kutafuta msaada mtaani kwenu hukohuko kwa majirani. Hata migahawani kuna uwezekano ukapata msaada wa chakula kuliko kutuma copy-paste kwa members
Bora hata uombe fursa, kazi au connection kuliko kuomba hela moja kwa moja. wanadhani kila mtu wa JF ni tajiri. Ukweli ni kwamba sisi ni akina nyie tu tupo hapa kutafuta madini, maarifa na habari.
Yaani ndani ya wiki moja nakuta meseji tatu tofauti zote zinaanza na Bro sikujui hunijui ila nina shida, nisaidie hela ya kula.
Aisee! Duniani kuna maombi mengi sana.Mimi kwenye PM yangu huwa nakuta messages za watu wakiomba niwape dawa ya kuongeza ukubwa wa uume.
Madogo wa kike vipi? Wanaomba? Unawapa?anza na wazazi
ndugu
marafiki
watu wa kwenye circle yako na kama ni jf basi mtu ambaye mko na network tayari sio from nowhere tu unam PM Mtu kuomba pesa
Cc HUNIJUI SIKUJUI.Kwa nini wanasema "hunijui sikujui"??
Inaonekana mleta mada anapenda sana watoto wa kike wamwendee PM, ila ndo hivyo, 'usichokipenda kinakupenda, unachokipenda hakikupendi'.Madogo wa kike vipi? Wanaomba? Inawapa?
wenyewe wanataka sadakaKanisani
wanawake hawana hizo pigo kabisa..Madogo wa kike vipi? Wanaomba? Unawapa?
kwani network si ndo itaanza ukishatoa jamaniš¤£anza na wazazi
ndugu
marafiki
watu wa kwenye circle yako na kama ni jf basi mtu ambaye mko na network tayari sio from nowhere tu unam PM Mtu kuomba pesa
ntakuchapaš¤£Mimi kwenye PM yangu huwa nakuta messages za watu wakiomba niwape dawa ya kuongeza ukubwa wa uume.
Usijali babe, kwenye PM yangu hakuna memba wa kike anayekujantakuchapaš¤£