Yaani hadi mtafute namna muwaingize wanawake kwenye ujinga wenu🙆♂️🙆♂️Madogo wa kike vipi? Wanaomba? Unawapa?
afadhali😊Usijali babe, kwenye PM yangu hakuna memba wa kike anayekuja
Ndio muache hizo tabia sasa.Mtu kakufata inbox na wewe unakuja kumuanika hapa mkuu instead umalizane nae huko huko. Nini maana ya inbox? Kumwambia huna unashindwa nini ndugu yangu na umwambie huko huko mambo yaishe. Na afu mtu kuomba mwingne pesa kwani ni dhambi bro. Au hauna na yeye anakuvuruga bure.
Kuwa na amani.afadhali😊
Fungu lipowenyewe wanataka sadaka
babu mimi ni mzee na mvi zangu na ni bora umwambie inbox kwamba hauna hata wewe unakula kiburi kama anaweza aje mle viburi wote mcheke maisha yasonge. Hata mim napata hzo sms sana lakin kuna njia nawajibu na inaisha. Mtu hawezi kukuomba jambo kisiri na wewe unamwanika huo ni umama.Ndio muache hizo tabia sasa.
Au sio!! Ndio kawapa sasa elimu kwa ujumla wenu kuwa muombe michongo na sio pesa kila uchwao.babu mimi ni mzee na mvi zangu na ni bora umwambie inbox kwamba hauna hata wewe unakula kiburi kama anaweza aje mle viburi wote mcheke maisha yasonge. Hata mim napata hzo sms sana lakin kuna njia nawajibu na inaisha. Mtu hawezi kukuomba jambo kisiri na wewe unamwanika huo ni umama.
Hakuna watu wanaomba pesa kama wanawake mabinti.Yaani hadi mtafute namna muwaingize wanawake kwenye ujinga wenu🙆♂️🙆♂️
Unafikiri tutaacha kuomba?!Au sio!! Ndio kawapa sasa elimu kwa ujumla wenu kuwa muombe michongo na sio pesa kila uchwao.
Ni wazi umeshatafuna vitumbua umebaki kufuta mdomo mafuta.wanawake hawana hizo pigo kabisa..
Mzee Sidhani kama nime m mention mtu kwenye topic yangu me nimesema tu kwa ujumla kwa wote wenye hizo tabiababu mimi ni mzee na mvi zangu na ni bora umwambie inbox kwamba hauna hata wewe unakula kiburi kama anaweza aje mle viburi wote mcheke maisha yasonge. Hata mim napata hzo sms sana lakin kuna njia nawajibu na inaisha. Mtu hawezi kukuomba jambo kisiri na wewe unamwanika huo ni umama.
Ndege John anazidi kuniabisha rafiki yake kwa kumzidi ku-type hovyo hovyo.Ni wazi umeshatafuna vitumbua umebaki kufuta mdomo mafuta.
Dawa yao ni kuwapiga mitiJamani madogo hasa new members acheni hii tabia ya kuingia inbox za watu kuanza na Bro naomba hela ya kula.Ukienda inbox za watu 100 ukitegemea mmoja atakutumia pesa hiyo siyo sawa.
Pesa hutafutwa, siyo kuombwa ovyo. Kama kweli umekwama siku hiyo na una njaa anza kutafuta msaada mtaani kwenu hukohuko kwa majirani. Hata migahawani kuna uwezekano ukapata msaada wa chakula kuliko kutuma copy-paste kwa members
Bora hata uombe fursa, kazi au connection kuliko kuomba hela moja kwa moja. wanadhani kila mtu wa JF ni tajiri. Ukweli ni kwamba sisi ni akina nyie tu tupo hapa kutafuta madini, maarifa na habari.
Yaani ndani ya wiki moja nakuta meseji tatu tofauti zote zinaanza na Bro sikujui hunijui ila nina shida, nisaidie hela ya kula.
mkuu hio habari uliiona wapi mbona mimi ilinipita nani huyo alinianzishia uchuroNdege john si alikufaga au kuna memba anatumia hii aid
Mada imesema wanaume. Ndio mjue wote waombaji tu.Hakuna watu wanaomba pesa kama wanawake mabinti.