Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oh. Sawa ndugu. Karibu sana.Usijali sister langu tupo pamoja sana.
Hahaaaa. Bado wapo ambao hawatalielewa rafiki.Aisee! kuna haja ya hili somo kuingizwa kwenye mtaala wanafunzi wafundishwe mashuleni
Sasa ata somo kama hilo jamani F zitakuepo tu?Hahaaaa. Bado wapo ambao hawatalielewa rafiki.
F lazima zitakuwepo tu. [emoji85]
Ndio sababu kuelewa nako sio jambo dogo rafiki.Sasa ata somo kama hilo jamani F zitakuepo tu?
Ndio hivyo mkuu kama uko na domo zege we tafuta mahela tuUmeona eeee
Wewe nawe,siku hizi kutongoza hamna no self serviceNi mbaya zaidi kwa mwanaume kufikia atua hii me jamani Kuna mwanamke nampenda ila nashidwa kumwambia hii inatokana na mimi kuto tongoza kwa muda mrefu. Nawashauri wanaume tuwe tunafanya mazoezi ya kutongoza kila wiki.
Ni mbaya zaidi kwa mwanaume kufikia atua hii me jamani Kuna mwanamke nampenda ila nashidwa kumwambia hii inatokana na mimi kuto tongoza kwa muda mrefu. Nawashauri wanaume tuwe tunafanya mazoezi ya kutongoza kila wiki.
Duuu sasa baada ya kumsaidia jamaa amalize haja zake ww ukaanza kumcheka?[emoji23][emoji23] nimekumbuka enzi za usichana kuna mkaka jirani hivi alikuaga ananipenda kuongea anashindwa namimi nilishajua jamaa kadata basi kila akiniona anajichekeshachekesha kama mwehu mambo inarudiwa hata mara 5..siku moja akampa mdogo ake wa kike kimzigo kale kabinti kakaniletea kufungua nikakutana na saa ya kopa likadi likubwa kashusha mashairi ya hatari na maua na kiperfume nilicheka ile siku yani hapo ndipo nilipogundua kumbe kuna madomo zege
[emoji23][emoji23] haja gani? Kwanza nlimtuma? Si alijipendekeza mwenyeweDuuu sasa baada ya kumsaidia jamaa amalize haja zake ww ukaanza kumcheka?
Kuna wanawake sio watu wazuri kabisa
Ulimtunuku penzi au uliishia kumcheka tu yna4?[emoji23][emoji23] nimekumbuka enzi za usichana kuna mkaka jirani hivi alikuaga ananipenda kuongea anashindwa namimi nilishajua jamaa kadata basi kila akiniona anajichekeshachekesha kama mwehu mambo inarudiwa hata mara 5..siku moja akampa mdogo ake wa kike kimzigo kale kabinti kakaniletea kufungua nikakutana na saa ya kopa likadi likubwa kashusha mashairi ya hatari na maua na kiperfume nilicheka ile siku yani hapo ndipo nilipogundua kumbe kuna madomo zege