Madomo zege tukutane hapa..

Madomo zege tukutane hapa..

Kwel nilishawah ishi na mwanamke kwa muda Wa mwaka na sehemu,na muda wote huo skuwah kutongoza,baada ya kuachana nae nilipata wakat mgumu kuanza kutongoza tena,kwel kutongoza kunahitaj mazoez ya kla mara
 
mimi naweza chukua namba na nikaonge na demu ila kumpigia simu na kuanza kumtafuta hapana aisee huo mda sina, huwa sijui nakuwaje naweza kuta nime mtafuta mda mrefu sana ila siku akaingia paa au nikatongoza akakubali basi jua nampotezea hapo hapo
 
Sasa ata somo kama hilo jamani F zitakuepo tu?
Ndio sababu kuelewa nako sio jambo dogo rafiki.

Anaweza pewa mbinu ila asizielewa abadan na bado udomo zege ukabaki palepale.

Vp lakini rafiki upande wako? [emoji85]
 
Ni mbaya zaidi kwa mwanaume kufikia atua hii me jamani Kuna mwanamke nampenda ila nashidwa kumwambia hii inatokana na mimi kuto tongoza kwa muda mrefu. Nawashauri wanaume tuwe tunafanya mazoezi ya kutongoza kila wiki.
Wewe nawe,siku hizi kutongoza hamna no self service
 
Ni mbaya zaidi kwa mwanaume kufikia atua hii me jamani Kuna mwanamke nampenda ila nashidwa kumwambia hii inatokana na mimi kuto tongoza kwa muda mrefu. Nawashauri wanaume tuwe tunafanya mazoezi ya kutongoza kila wiki.

kila wiki😀😀
 
Dah sijui udomo zege wangu sijui ungeisha lini kama izi simu zisingekuwepo, baada ya kumaliza 4m4 ndo nlifanikiwa kupiga dem kwa mara ya kwanza lkn nlikua nasoma shule ya mchanganyiko na bahati nzuri madem walikua wananikubali sana lakn kuwatongoza sasa au kuomba mzigo ndo ilikua mtihani.
 
[emoji23][emoji23] nimekumbuka enzi za usichana kuna mkaka jirani hivi alikuaga ananipenda kuongea anashindwa namimi nilishajua jamaa kadata basi kila akiniona anajichekeshachekesha kama mwehu mambo inarudiwa hata mara 5..siku moja akampa mdogo ake wa kike kimzigo kale kabinti kakaniletea kufungua nikakutana na saa ya kopa likadi likubwa kashusha mashairi ya hatari na maua na kiperfume nilicheka ile siku yani hapo ndipo nilipogundua kumbe kuna madomo zege
 
Duuu sasa baada ya kumsaidia jamaa amalize haja zake ww ukaanza kumcheka?

Kuna wanawake sio watu wazuri kabisa
 
[emoji23][emoji23] haja gani? Kwanza nlimtuma? Si alijipendekeza mwenyewe
 
[emoji23][emoji23] nimekumbuka enzi za usichana kuna mkaka jirani hivi alikuaga ananipenda kuongea anashindwa namimi nilishajua jamaa kadata basi kila akiniona anajichekeshachekesha kama mwehu mambo inarudiwa hata mara 5..siku moja akampa mdogo ake wa kike kimzigo kale kabinti kakaniletea kufungua nikakutana na saa ya kopa likadi likubwa kashusha mashairi ya hatari na maua na kiperfume nilicheka ile siku yani hapo ndipo nilipogundua kumbe kuna madomo zege
Ulimtunuku penzi au uliishia kumcheka tu yna4?
 
Back
Top Bottom