MPUNGA MMOJA
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 304
- 401
Sio Tff tu nenda cecafa,caf hadi fifa ni uhuni tu,mpira ni mchezo wa kihuni japo kuna pesaWakulaumiwa ni hao viongozi waliokosa wadhamini kwa kurupuka kugombea uraisi. Kama kweli walikuwa na nia ya kugombea walishindwa nini kusoma katiba ya TFF na kanuni zake na kuielewa walau mwaka mmoja kabla ya uchaguzi ambapo wangegundua kuna kifungu ambacho kinampa Karia nafasi ya kurudi bila kupingwa?
Nasema walau mwaka mmoja kabla kwa sababu kungekuwa rahisi sana pamoja na muda wa kukingóa hicho kifungu batili kwa kupitia msajili au serikali. Lakini bado hawajachelewa kwani uchaguzi ni mwezi wa nane kwa hiyo shughuli ianze sasa badala ya kupiga kelele kwenye vyombo vya habari.
Na hili liwe funzo kwa yoyote yule anayetaka kugombea uongozi popote badala ya kukimbilia tu kama nyumbu kuchukua fomu wawe wanasoma katiba kwanza na kuzielewa kisha wajiridhishe kuwa hazimbebi mgombea yoyote kati yao. Iwapo katiba itakuwa inambeba mgombea yoyote basi wapambane mpaka irekebishwe kabla hawajachukua fomu vinginevyo ikishindikana kung'oa hivyo vifungu basi wasishiriki kuchukua fomu kwenye uchaguzi batili.
Kila siku nasema hivi Tanzania vituko haviiishi na havitaisha kwani huyu Karia bila serikali kuingilia kati na kurekebisha mambo yeye asingepata uraisi wa TFF kwa jinsi Malinzi alivyokuwa ametengeza figisu figusu pale TFF. Maajabu ya mwaka yeye kapata nafasi halafu karudia tena yale yale ya Malinzi kujitengenezea figisu figisu ili ashinde bila kupingwa. Kama Karia kafanya vizuri anapata wapi woga wa kuruhusu uchaguzi huru na wa haki?
Kwangu mimi Karia ashinde au asishindwe sio tatizo bali haki itendeke na ionekane kweli imetendeka kwa wagombea wote.
Nashangaa aiseeeHii mbona ina-mapungufu? Hao wadhamini wanapatikana vipi na kwanini mpaka mtu awe anahisi kuongoza Chama alafu akose hata ku-loby kupata wadhamini? Au kuna faulo zinatendeka?
Kwani hicho kifungu kinasemaje?Wakulaumiwa ni hao viongozi waliokosa wadhamini kwa kurupuka kugombea uraisi. Kama kweli walikuwa na nia ya kugombea walishindwa nini kusoma katiba ya TFF na kanuni zake na kuielewa walau mwaka mmoja kabla ya uchaguzi ambapo wangegundua kuna kifungu ambacho kinampa Karia nafasi ya kurudi bila kupingwa?
Nasema walau mwaka mmoja kabla kwa sababu kungekuwa rahisi sana pamoja na muda wa kukingóa hicho kifungu batili kwa kupitia msajili au serikali. Lakini bado hawajachelewa kwani uchaguzi ni mwezi wa nane kwa hiyo shughuli ianze sasa badala ya kupiga kelele kwenye vyombo vya habari.
Na hili liwe funzo kwa yoyote yule anayetaka kugombea uongozi popote badala ya kukimbilia tu kama nyumbu kuchukua fomu wawe wanasoma katiba kwanza na kuzielewa kisha wajiridhishe kuwa hazimbebi mgombea yoyote kati yao. Iwapo katiba itakuwa inambeba mgombea yoyote basi wapambane mpaka irekebishwe kabla hawajachukua fomu vinginevyo ikishindikana kung'oa hivyo vifungu basi wasishiriki kuchukua fomu kwenye uchaguzi batili.
Kila siku nasema hivi Tanzania vituko haviiishi na havitaisha kwani huyu Karia bila serikali kuingilia kati na kurekebisha mambo yeye asingepata uraisi wa TFF kwa jinsi Malinzi alivyokuwa ametengeza figisu figusu pale TFF. Maajabu ya mwaka yeye kapata nafasi halafu karudia tena yale yale ya Malinzi kujitengenezea figisu figisu ili ashinde bila kupingwa. Kama Karia kafanya vizuri anapata wapi woga wa kuruhusu uchaguzi huru na wa haki?
Kwangu mimi Karia ashinde au asishindwe sio tatizo bali haki itendeke na ionekane kweli imetendeka kwa wagombea wote.
Na ni vigezo vipi vya mtu kupewa / kuchagua / kuamua kwamba hii mikoa ni yangu?Kuna mtu alishatabiri hapa kuwa huo mtindo wa kanuni zao lazima wagombea wakose wadhamanini.
Eti kila mgombea apate sahihihi za wadhamini kadhaa kwenye mikoa mitano alafu mgombea mwingine haruhusiwi kupata sahihi za wadhamini katika hiyo mikoa ya mwenzake hivyo inamlazimu atafute mikoa yake mingine 5 ambayo hukuna mgombea yoyote aliyechukua mdhamini hapo 🤣🤣🤣
Ni speed yako kuwahi tu.Na ni vigezo vipi vya mtu kupewa / kuchagua / kuamua kwamba hii mikoa ni yangu?
Hizi ni Sanaa....Ni speed yako kuwahi tu.
Hata chaguzi za caf na fifa zipo hivi hivi na hapa ndio utajua kwanini watu wanataka kuuana kwenye uraisi wa FA pote duniani, maraisi wa fa huwa wanakula rushwa ya mabilioni linapokuja swala la kupiga kura caf, fifa, uefa.Sio Tff tu nenda cecafa,caf hadi fifa ni uhuni tu,mpira ni mchezo wa kihuni japo kuna pesa
Umeongea ukweli mtupuHata chaguzi za caf na fifa zipo hivi hivi na hapa ndio utajua kwanini watu wanataka kuuana kwenye uraisi wa FA pote duniani, maraisi wa fa huwa wanakula rushwa ya mabilioni linapokuja swala la kupiga kura caf, fifa, uefa.
kwa wale wafuatiliaji wa michezo kiundani wanafahamu kwanini south Africa alikosa nafasi ya kuandaa world cup 2006, Russia haikuwa na sifa ya kuandaa world cup 2018 kutokana na ubaguzi wa kutisha lakini waliongoza kwa kura na kuwa host, Qatar na joto lote zaidi ya 40 degrees Celsius mwezi wa 6 ambapo ndio ratiba ya kuanza wc walipata Kura nyingi na kuwa host nation 2022 wakawa wanajiuliza imekuwaje, matokeo yake wamefoji wc kuchezwa December kwasababu huwezi kucheza kwa joto lile. Baada ya kura hizi zilifumuka kesi nyingi na kuonesha wapiga kura walivyoingiziwa mabilioni kwenye account zao
Athari mfumo huu ni kwamba hawa wajumbe wa mikoa, nchi huwa wanashindwa wamuunge mkono nani kwa kuogopa kutokupewa kipaumbele iwapo wasiyemchagua atashida. Rejea nchi za afrika zilimuunga mla rushwa mwezao blatter chaguzi zote, alipotoka walimuunga mkono hayatou, ulaya walimuunga infantino.. unategemea nini hapo
Kamwe masikini hawezi kushinda uchaguzi nafasi ya urais tff, hata historia inaonesha ni mabilionea tu wanaoshinda hiyo nafasi kuanzia ndolanga, rage, Tenga, malinzi, karia.. ukiipata hii nafasi hizi milioni 500 ni hela za mboga tuuUmeongea ukweli mtupu
Wana hela sana haoKamwe masikini hawezi kushinda uchaguzi nafasi ya urais tff, hata historia inaonesha ni mabilionea tu wanaoshinda hiyo nafasi kuanzia ndolanga, rage, Tenga, malinzi, karia.. ukiipata hii nafasi hizi milioni 500 ni hela za mboga tuu
Hatuwezi kumark your words.Hili halishangazi, TFF bado wanatumia kitabu ( play book) cha awamu ya 5!
Karia atakuwa Rais wa kwanza wa TFF kusabibisha maafa!
Mark my words!
Wagombea nafasi ya Urais Shirikisho la soka Nchini TFF wamekosa wadhamini.
Ni mgombea mmoja tu ambae amepata wadhamini ambaye ni Rais aliyemaliza muda wake Ndg Karia.
Kwa tafsiri hiyo nafasi ya Urais itakua na Mgombea Mmoja tu ambae ni Wallace Karia