Baadhi ya wagombea kukosa wadhamini sio madudu katika uchaguzi. Hata mahakamani, mtuhumiwa anapotafuta wadhamini, hudhaminiwa na wale watu wake wa karibu ambao wana imani naye (mtuhumiwa), vinginevyo kama hawana imani naye hakuna atakayemdhamini maana anaweza akatoroka kesi wadhamini wakabaki kuingia matatani. Vivyo hivyo, kwenye uchaguzi huu wa TFF, wajumbe wanamdhamini yule tu waliye na imani naye, sio mtu yeyote tu aliyechukua fomu, maana kumdhamini mtu ni kujifunga kisheria kwamba upo tayari kutoa taarifa zake pale zitakapotafutwaMadudu uchaguzi TFF: Wagombea nafasi ya urais wamekosa wadhamini
Palipo na pesa uhuni ndio kwaoSio Tff tu nenda cecafa,caf hadi fifa ni uhuni tu,mpira ni mchezo wa kihuni japo kuna pesa
Maafa kisa Nini kwa mfano, mje mjaribu kuleta uhuni ,nadhan ukilema mnataka kuutafuta kinguvu .Hili halishangazi, TFF bado wanatumia kitabu ( play book) cha awamu ya 5!
Karia atakuwa Rais wa kwanza wa TFF kusabibisha maafa!
Mark my words!
Mkuu Mpinzire na mimi niliuliza hili swala kuna member alianzisha Uzi ila sikujibiwaKwani hicho kifungu kinasemaje?
Asante ndugu Mchambuzi kumbe ndio kanuni inasema hivyo?? Na sio kwamba ni lazima upate wagombea watano kila mkoa?Kuna mtu alishatabiri hapa kuwa huo mtindo wa kanuni zao lazima wagombea wakose wadhamanini.
Eti kila mgombea apate sahihihi za wadhamini kadhaa kwenye mikoa mitano alafu mgombea mwingine haruhusiwi kupata sahihi za wadhamini katika hiyo mikoa ya mwenzake hivyo inamlazimu atafute mikoa yake mingine 5 ambayo hukuna mgombea yoyote aliyechukua mdhamini hapo 🤣🤣🤣
Nchi yetu inahitaji ukombozi kimpira. Tumekubali kuongozwa na Msomali wa Mogadishu.Wagombea nafasi ya Urais Shirikisho la soka Nchini TFF wamekosa wadhamini.
Ni mgombea mmoja tu ambae amepata wadhamini ambaye ni Rais aliyemaliza muda wake Ndg Karia.
Kwa tafsiri hiyo nafasi ya Urais itakua na Mgombea Mmoja tu ambae ni Wallace Karia
Ubaguzi si jambo jema.Nchi yetu inahitaji ukombozi kimpira. Tumekubali kuongozwa na Msomali wa Mogadishu.
Anatupeleka anavyotaka.
Mkuu mbona napovu yamekutokaMaafa kisa Nini kwa mfano, mje mjaribu kuleta uhuni ,nadhan ukilema mnataka kuutafuta kinguvu .
Rejea wazee wa uamsho miaka 7 na wana bahat wametoka kwa huruma ya mama maana naona walitaka kuchochea vita ,Sasa nasemaje uje ujaribu kuleta maafa pale tff ndio utajua hujui.
Karia ana ubaya gani had achukiwe kiasi hicho Tena na wana yanga tu .Club zote wanamwelewa kasoro nyie wana yanga ,ivi nyie ni kina nan hapa nchini ,mnadhan mnaweza kutisha watu kirahis ivo na mkachekewa?
Kama wewe ni mwanaume nenda hata saiz pale tff kalete hayo maafa sio unajificha jf unaandika uharo wako hapa.
Sasa kama ni hivyo mbona mikoa ipo 26 na inahitajika mikoa mitano,inakuwaje wengine wakose wakati Karia kachukua mikoa 5 tu?Kuna mtu alishatabiri hapa kuwa huo mtindo wa kanuni zao lazima wagombea wakose wadhamanini.
Eti kila mgombea apate sahihihi za wadhamini kadhaa kwenye mikoa mitano alafu mgombea mwingine haruhusiwi kupata sahihi za wadhamini katika hiyo mikoa ya mwenzake hivyo inamlazimu atafute mikoa yake mingine 5 ambayo hukuna mgombea yoyote aliyechukua mdhamini hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ache tu uwe ubaguzi. Mtanzania akienda Somalia hawezi kuongoza FA yao.Ubaguzi si jambo jema.
"Mtanzania"Ache tu uwe ubaguzi. Mtanzania akienda Somalia hawezi kuongoza FA yao.
Mkuu, huyo Karia ni Msomali halina ubishi. Kuna mtu mkubwa anamlinda na kumtumia Msomali kwa manufaa yake."Mtanzania"
Hili neno lina maana pana sana mkuu.
Rejea maana halisi ya Mtanzania, utaacha kuwabagua watu ambao unahisi si watanzania haswa.
Kimsingi hawajakosa wajumbe wakuwadhamini, issue ni kwamba wamekosa pesa za kuwahonga hao wajumbe ili wawashamini na hao wajumbe wameahajua hilo ndio chaka lao lakuvuna sasa wana tabia ya kumuangalia mgombea mzito ndio wanamdhamini, inshort wanaringa coz wanajua bila kupata udhamini wao huendi kokote utaenguliwa tu.Sasa kama ni hivyo mbona mikoa ipo 26 na inahitajika mikoa mitano,inakuwaje wengine wakose wakati Karia kachukua mikoa 5 tu?