Maafa kisa Nini kwa mfano, mje mjaribu kuleta uhuni ,nadhan ukilema mnataka kuutafuta kinguvu .
Rejea wazee wa uamsho miaka 7 na wana bahat wametoka kwa huruma ya mama maana naona walitaka kuchochea vita ,Sasa nasemaje uje ujaribu kuleta maafa pale tff ndio utajua hujui.
Karia ana ubaya gani had achukiwe kiasi hicho Tena na wana yanga tu .Club zote wanamwelewa kasoro nyie wana yanga ,ivi nyie ni kina nan hapa nchini ,mnadhan mnaweza kutisha watu kirahis ivo na mkachekewa?
Kama wewe ni mwanaume nenda hata saiz pale tff kalete hayo maafa sio unajificha jf unaandika uharo wako hapa.