mpalu
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 2,521
- 874
wananzengo utawajua tu....wasalimie malimbeaisee kuna kila sababu kila chuokikuu kiwe na mkakati wa kufundisha course ya basic english kwa wanachuo wote kama SAUT wanavyofanya..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wananzengo utawajua tu....wasalimie malimbeaisee kuna kila sababu kila chuokikuu kiwe na mkakati wa kufundisha course ya basic english kwa wanachuo wote kama SAUT wanavyofanya..
tunaanza....jf kweli chunguMwanzo wa sentensi tunaanzaga na herufi kubwa! Jf chunguu.
Kiwe cha kata,kijiji.mtaa n.k mwisho wa siku watu wanaangalia mafanikio yako kutokana na elimu uliyopata kwenye chuo husikaeti mzumbe chuo cha tarafa! SHAME ON U! hujapajua mzumbe vizuri dat's why unasema hivyo!
We msukuma eeh,tunaanzaga ndio nini?
I thought utaanza na capital letter lol!!ni ndiyo.
I thought utaanza na capital letter lol!![/QUOTE
Ungetumia lugha moja tu, kiswahili au kiingereza ingekuwa bora zaidi.
1.ULIKUWA
2.UNAMAANISHA
3.KUWA
TEH! TEH!kusahihishana raha sana
:smokin::smokin::confused2:
:smile: :smile:
:smokin::smokin:
:A S-confused1::boink:
Barua ya mhitimu Mzumbe
University imeibua vicheko visivyo na mwisho kwenye idara ya utumishi
hapa ofisini.
...........nawaibia kidogo tu!
"....... I has a bachelar in accounts and finance...."
Nape alikimbilia hulo kupata masters haraka sana.
Mzumbe ndio chuo gan na kiko nchi gan?
bora huyo aliyekosea grammer kuliko wewe unayetoa mambo ya ofisi nje! hivi maadili ya kazi siku hizi mbona ni hovyo sana? hauna tofauti na yule anayetoa siri za ndani (unasema mambo ya mpz wako hadharani)
kweli wewe ulipewa nafasi kwa bahati mbaya
elimu kubwa ndo ipi? kwani bachelor ya china ukija tanzania inageuka masters? au unamaanisha teknolojia?Aise we jamaa huna kifua una tabia ya umbea pia unajifanya elimu bora sana we itakua chuo ulikua unasoma language mwenzio kasoma accounts ivi unajua kuna wachina wenye elimu kubwa na hawajui kingereza