Madudu ya wahitimu vyuo vikuu.

Madudu ya wahitimu vyuo vikuu.

aisee kuna kila sababu kila chuokikuu kiwe na mkakati wa kufundisha course ya basic english kwa wanachuo wote kama SAUT wanavyofanya..
wananzengo utawajua tu....wasalimie malimbe
 
eti mzumbe chuo cha tarafa! SHAME ON U! hujapajua mzumbe vizuri dat's why unasema hivyo!
Kiwe cha kata,kijiji.mtaa n.k mwisho wa siku watu wanaangalia mafanikio yako kutokana na elimu uliyopata kwenye chuo husika
 
Barua ya mhitimu Mzumbe
University imeibua vicheko visivyo na mwisho kwenye idara ya utumishi
hapa ofisini.

...........nawaibia kidogo tu!



"....... I has a bachelar in accounts and finance...."

m2 wang acha dharau na kujiona wewe upo kamil wenzako mlio nao hapo wanakujua lakini wanakustahi 2,acha tabia hiyo co nzuri.
 
bora huyo aliyekosea grammer kuliko wewe unayetoa mambo ya ofisi nje! hivi maadili ya kazi siku hizi mbona ni hovyo sana? hauna tofauti na yule anayetoa siri za ndani (unasema mambo ya mpz wako hadharani)
kweli wewe ulipewa nafasi kwa bahati mbaya

nikweli cc watanzania Eng nitatizo nahatupaswi kushangaana. Pia huyu jamaa hana Ethics za kaz
 
Inauma sana kama tutaanza kubaguana kwa kuangalia chuo ulichosoma bila kuangalia ufanisi wa kazi!! Sasa kazi tutapata kweli?? bado hajaangalia dini, mfuate kabila, mfuate mkoa ........... Wakubwa zetu mnatufundisha nini???
 
Aise we jamaa huna kifua una tabia ya umbea pia unajifanya elimu bora sana we itakua chuo ulikua unasoma language mwenzio kasoma accounts ivi unajua kuna wachina wenye elimu kubwa na hawajui kingereza
elimu kubwa ndo ipi? kwani bachelor ya china ukija tanzania inageuka masters? au unamaanisha teknolojia?
 
Back
Top Bottom