Barua ya mhitimu Mzumbe University imeibua vicheko visivyo na mwisho kwenye idara ya utumishi hapa ofisini.
...........nawaibia kidogo tu!
"....... I has a bachelar in accounts and finance...."
stupidity!!!!Mzumbe ndio chuo gan na kiko nchi gan?
what goes around,comes around,huu ndio utamu wa jf
Kumbe Maprof. wanafundisha English vyuoni!!
Embu tuache hizo kasumba za ajabu na ndomaana atufanikiwi kwa kukazania kingereza tuu. Na huyo haliyetoa habari za ofisini kwake sijui kama anajua maadili ya kazi yake.
Re: Maduu ya wahitimu vyuo vikuu.
unajua ukitaka kukosoa na wewe uwe smart, sasa angalia title ya post yako, hapo nilipo bold ulimaanisha nini?
anyways its "slip of pen" bana
afterall huyo mtu kasoma accounting and finance, hajasoma english
kumbuka pia hiyo ni third laguage kwake, so nothing wrong
Barua ya mhitimu Mzumbe University imeibua vicheko visivyo na mwisho kwenye idara ya utumishi hapa ofisini.
...........nawaibia kidogo tu!
"....... I has a bachelar in accounts and finance...."[/QUOTE]
Hii hali ni serious japo tunaiona kichekesho!!! Mhitimu wa digrii ya kwanza anashindwa hata kujieleza kiufasaha katika lugha aliyokuwa anaitumia katika masomo yake yote chuoni......Sio jambo dogo hili....
Mimi kuna barua ambazo nimekutana nazo za vijana wanaoomba kufanya mafunzo ya mazoezi kwa vitendo kazini kwetu; unaweza kufikiria labda mwandishi anatania.....
Kama ndiyo MULUGO style; TWAFWA wa Tanzania......
Barua ya mhitimu Mzumbe University imeibua vicheko visivyo na mwisho kwenye idara ya utumishi hapa ofisini.
...........nawaibia kidogo tu!
"....... I has a bachelar in accounts and finance...."
what is your agenda?...sijakuelewa.
Mzumbe ni chuo cha tarafa.Bado hujaona ya kile chuo cha kata DODOMA ambacho ukiingia getini tu unakutana na mnara wa CCM.Unategemea wahitimu wake watakua na tofauti na ccm??.Hili ni janga tunahitaji kulijadili kwa upana wake
asante"Hulo" ndiyo nini? Wewe unatiamashaka kama Kiswahili lugha yako ya kwanza hujui, je hicho Kiingereza?Umemdharau mwenzako kumbe na wewe mburula.