Madudu ya wahitimu vyuo vikuu.

Madudu ya wahitimu vyuo vikuu.

we jamaa uliyepost hii kitu mi sikufaham kwa sura but kwa post hii uliyotupia humu imeniwezesha kufahamu tabia yako, yan wewe ni divulger ,mbeya, mnafiki, huna uwezo wa kumudu ofc na cr zake yan in short haufai yan. I hate u , ni kwa nini usingemtafuta mwenyewe na kumkosoa(hiyo ingemjenga) kuliko kutupia humu????, and worse enough unageneralize..... et chuo cha mzumbe.
 
Barua ya mhitimu Mzumbe University imeibua vicheko visivyo na mwisho kwenye idara ya utumishi hapa ofisini.

...........nawaibia kidogo tu!



"....... I has a bachelar in accounts and finance...."

Naanza hiviii no ethics, no personality, no any thing, we ni mtu tofauti sana, una mambo ya kizamani kutharau vyuo vya wengine, mi sijasoma MZUMBE wala UD, ila ninachoamini mara zote tunaangalia ufanisi na uwezo wa mtu katika kazi kwani English ni nini bana, unaweza kua na english nzuri ukawa kilaza katika kazi, ndo sasa naamini kumbe interview mnazofanya mnaangalia kingereza tu basi, kama mnaweza kutoa siri za kiofisi mtashindwa kupokea vimemo? sorry! nlikua napita tu bwashee.
 
huenda kakosea ama hajui, lakini mbona wewe elimu yko haijakusaidia mbaka siri za ofisi unazianika hovyo
 
mwacheni apost. Hyo pia ni elimu au darasa tosha kwetu. Watu wengi wanakosa kazi kwa kushindwa kuweka umakini kwenye barua za maombi. Tujifunze kupitia makosa ya wenzetu.
 
Mzumbe ndio chuo gan na kiko nchi gan?
stupidity!!!!
kosa la mtu mmoja lisidhalilishe wanachuo wote!!!
na wewe mleta mada, una thibitisha vipi kama maneno hayo ni ya kwenye barua!!? mgnga wewe!!
 
Kumbe Maprof. wanafundisha English vyuoni!!
Embu tuache hizo kasumba za ajabu na ndomaana atufanikiwi kwa kukazania kingereza tuu. Na huyo haliyetoa habari za ofisini kwake sijui kama anajua maadili ya kazi yake.

Wewe mwenyewe hata kiswahili unachotaka kikazaniwe bado haujakimaster, angalia kwenye red

atufanikiwi-hatufanikiwi

haliyetoa-aliyetoa
 
Re: Maduu ya wahitimu vyuo vikuu.

unajua ukitaka kukosoa na wewe uwe smart, sasa angalia title ya post yako, hapo nilipo bold ulimaanisha nini?
anyways its "slip of pen" bana
afterall huyo mtu kasoma accounting and finance, hajasoma english
kumbuka pia hiyo ni third laguage kwake, so nothing wrong

Everything is wrong. English is the language of business, worldwide. Any graduate who says that he or she was taught in English, whatever course, must show command of the language.
 
Shame on you guys! If what I read in this forum truly reflects the quality of our graduates then this country has a very very long way to go. Our graduates cannot write in their national language - Kiswahili or the foreign language which is very important for them to compete in a globalised word.

Kilichobakia ni ubabaishaji tu wa lugha. Kiswahili si kiswahili na kiingereza si kiingereza. Watu wanaelea tu. Wanataka msomaji ajaribu kuona kile alichotaka kusema.
 
Barua ya mhitimu Mzumbe University imeibua vicheko visivyo na mwisho kwenye idara ya utumishi hapa ofisini.

...........nawaibia kidogo tu!



"....... I has a bachelar in accounts and finance...."[/QUOTE]

Hii hali ni serious japo tunaiona kichekesho!!! Mhitimu wa digrii ya kwanza anashindwa hata kujieleza kiufasaha katika lugha aliyokuwa anaitumia katika masomo yake yote chuoni......Sio jambo dogo hili....

Mimi kuna barua ambazo nimekutana nazo za vijana wanaoomba kufanya mafunzo ya mazoezi kwa vitendo kazini kwetu; unaweza kufikiria labda mwandishi anatania.....

Kama ndiyo MULUGO style; TWAFWA wa Tanzania......
 
Barua ya mhitimu Mzumbe University imeibua vicheko visivyo na mwisho kwenye idara ya utumishi hapa ofisini.

...........nawaibia kidogo tu!



"....... I has a bachelar in accounts and finance...."



Ukiwa na waziri kilaza......tegemea pia kuwa na watahiniwa vilaza

 
Huyo amekosea chingereza,kumbuka mfumo wa elimu yetu na mfumo wa ajila zetu.Huna maadili ya kazi ningekuwa bosi wako ningekuchukulia hatua za kinidhamu.
 
Wala msisingizie chuo hiki na kile. Siku vyuo vikuu ni sehemu ya kuoneshea fasheni za nguo na laptop. Ingekuwa amri yangu, ningepiga marufuku watoto vyuoni. Endeleeni kugawana madesa huku mnalalamika nina digirii kazi wanapewa wakenya, pambaf!
 
Mzumbe ni chuo cha tarafa.Bado hujaona ya kile chuo cha kata DODOMA ambacho ukiingia getini tu unakutana na mnara wa CCM.Unategemea wahitimu wake watakua na tofauti na ccm??.Hili ni janga tunahitaji kulijadili kwa upana wake

Chezea UDOM wewe, acha kabisa.
 
Labda aliyechapa ndo alikosea mbona ni kosa dogo tu, hata kwenye kiswahili tunakoseaga itakua lugha tunayojifunza ukubwani! isitoshe makosa hayo hayatoshi kukiponda chuo kizima kwani sidhani kama chuo wanafundisha kiingereza kiasi cha kuwalaumu maprofesor.
 
Hiavi mtu akitak kujua kuwa watoto wetu ma ofisini wako hivi inabidi aangalie wapi-naomba msaada,mimi niliona huyu hakutaja jina la ofisi ila ametusaidia sisi kujua tukazanie watoto wetu huku tukiwapa mifano kama hii,kumbe ukiona mtu kaja kwenye interview na kaptula huruhusiwi kulisema kwa sababu ya ethics za utumishi?au unalisema kusudi tuwaambie watoto wetu wajifunze?
 
Back
Top Bottom