Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
Wakili William Maduhu ambaye ni mmoja wa wapeleka maombi katika shauri ambalo Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala ndogo ya Dar es Salaam mnamo Oktoba 16, 2026, iliamuru uongozi wa Gereza la Ukonga kumruhusu Tundu Lissu kuzungumza na mawakili wake kwa faragha, huku maofisa wa magereza wakiweza kuwaona bila kusikia mazungumzo yao.
Soma pia:
- Mawakili wa Lissu waibuka kidedea, Gereza la Ukonga lapewa maagizo
- Mawakili wa Lissu wamfungulia kesi Kamishna wa Magereza na Mkuu wa Gereza kuu la Ukong
- Tundu Lissu kumhoji Kamishna Mkuu wa Magereza na Mkuu wa Gereza la Ukonga (Julai 1-3, 2026)