Maduhu: Nikizuiwa kumwona Lissu, nitawafungulia kesi maofisa wa gereza

Atukuzwaye

Senior Member
Joined
Oct 5, 2026
Posts
191
Reaction score
250
Wakili William Maduhu ambaye ni mmoja wa wapeleka maombi katika shauri ambalo Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala ndogo ya Dar es Salaam mnamo Oktoba 16, 2026, iliamuru uongozi wa Gereza la Ukonga kumruhusu Tundu Lissu kuzungumza na mawakili wake kwa faragha, huku maofisa wa magereza wakiweza kuwaona bila kusikia mazungumzo yao.

Your browser is not able to display this video.
Soma pia:

​
 
ok sawa,
hakuna haja ya mayowe na kubwekabweka mitandaoni sasa, nenda kamuone na itapendeza zaidi πŸ’
 
Asante sana Wapigania Haki.
Mungu awabariki sana.
Taifa Limetoka kabisa kwenye Misingi ya Haki.

Mithali 14:34
β€œHaki huinua taifa; Bali dhambi ni aibu ya watu wo wote.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…