Maduka 60 ndani ya jengo moja, ni kariakoo Tanzania, bei ni billion 8 za kitanzania

Maduka 60 ndani ya jengo moja, ni kariakoo Tanzania, bei ni billion 8 za kitanzania

Dalali_wa_kimataifa

Senior Member
Joined
Apr 16, 2025
Posts
182
Reaction score
176
JENGO LA BIASHARA LINAUZWA KARIAKOO MTAA WA AGREY.

Kuna Maduka 60 na Stores
Nyumba ina Msingi wa Ghorofa kumi
Bei 8bill tsh

Contact us and Schedule a visit!!!

🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
 

Attachments

  • Polish_20250618_063232751.jpg
    Polish_20250618_063232751.jpg
    400.1 KB · Views: 37
  • IMG-20250618-WA0079.jpg
    IMG-20250618-WA0079.jpg
    51 KB · Views: 42
  • IMG-20250618-WA0077.jpg
    IMG-20250618-WA0077.jpg
    74.3 KB · Views: 41
  • IMG-20250618-WA0078.jpg
    IMG-20250618-WA0078.jpg
    76.6 KB · Views: 43
  • IMG-20250618-WA0080.jpg
    IMG-20250618-WA0080.jpg
    76 KB · Views: 41
  • IMG-20250618-WA0075.jpg
    IMG-20250618-WA0075.jpg
    60.8 KB · Views: 34
  • IMG-20250618-WA0076.jpg
    IMG-20250618-WA0076.jpg
    60.7 KB · Views: 35
  • IMG-20250618-WA0074.jpg
    IMG-20250618-WA0074.jpg
    75.9 KB · Views: 39
  • IMG-20250618-WA0073.jpg
    IMG-20250618-WA0073.jpg
    50.5 KB · Views: 36
  • IMG-20250618-WA0072.jpg
    IMG-20250618-WA0072.jpg
    70.4 KB · Views: 45
  • IMG-20250617-WA1470.jpg
    IMG-20250617-WA1470.jpg
    54.8 KB · Views: 34
Uyo anaetaka kununua ayo maduka asisahau saiv kuna malls kibao za wachina na zimetapakaa dar mzima
So kwa miaka 3 ijayo kariakoo itakua na upungufu sana wa wawateja sabu watu weng saiv wanaagiza na kununua mizigo toka kwenye izo malls za wachina na kibaya zaidi zinauza vitu bei nafuu sana

Ndio nyumba ni uwekezaji wa kudumu ila tunaangalia ni
Kwa muda gan atatumia angalau kuridisha billion12 maana atainunua bilion9
 
mpka leo sielewi kwa nini serikali isianzishe eneo lingine jipya ambalo litajengwa vizuri na watu binafsi. Kutakuwa kusafi si kama kariakoo kulivyo banana ovyo namna hiyo. Serikali ya chama dola imeshindwa kuja na mipambo bora kweli?
 
Uyo anaetaka kununua ayo maduka asisahau saiv kuna malls kibao za wachina na zimetapakaa dar mzima
So kwa miaka 3 ijayo kariakoo itakua na upungufu sana wa wawateja sabu watu weng saiv wanaagiza na kununua mizigo toka kwenye izo malls za wachina na kibaya zaidi zinauza vitu bei nafuu sana

Ndio nyumba ni uwekezaji wa kudumu ila tunaangalia ni
Kwa muda gan atatumia angalau kuridisha billion12 maana atainunua bilion9
Sele unamshauri mtu mwenye Bilion 8 kuhusu future?

Hiyo hela huipati bila kuona future
 
Back
Top Bottom