ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,803
- 24,943
Atageuza storeUyo anaetaka kununua ayo maduka asisahau saiv kuna malls kibao za wachina na zimetapakaa dar mzima
So kwa miaka 3 ijayo kariakoo itakua na upungufu sana wa wawateja sabu watu weng saiv wanaagiza na kununua mizigo toka kwenye izo malls za wachina na kibaya zaidi zinauza vitu bei nafuu sana
Ndio nyumba ni uwekezaji wa kudumu ila tunaangalia ni
Kwa muda gan atatumia angalau kuridisha billion12 maana atainunua bilion9